Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Mimi simjui huyu mwamba. Nimekuja kumuona huku kwenye post na comments zenu hakika amenigusa sana. Mungu ambariki kwa kugusa mioyo ya watu. Naamini ipoHuyu kijana anayejiita Mfwende Sawadogo ni miongoni mwa vijana wa Mfano na wakuigwa. Kijana hajawahi kuwaonea wenzie wivu wala hajawahi kuwawekea wenzake kinyongo juu ya Placement. Yeye kila siku alikuwa anaamini siku yake itafika na hatimae imefika. Nimekuwa nikimfatilia kimya kimya sana hadi leo hii napata Taarifa amepata kazi. HONGERA KWAKE.
Siku kila mtu mwenye uhitaji humu atakuja kusimulia na kushuhudia ukuu wa Mungu. Kila
La kheri kwa wapambanaji wote safari ya neema ni kwa kila mtu. Kikubwa uvumilivu