Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hongera sana champion
 
Hakika Mungu ni mwema na wakati wa Mungu ni wakati sahihi.

Hongera Sana kiongozi, umekuwa ukitutia moyo jobless na kusukuma uzi uende mbele Sasa umelamba asali.

Usikae mbali nasi endelea kuwa nasi hadi pale tutakapolamba asali.
 
Daaah mwanangu huyooooooo....Sterling master hongera sana kamanda wangu nimejisikia vzuri sana
 
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu, ukachape kazi mkuu hakika Mungu ni mwema, kila la kheri mkuu
 
Pigo jingine kwa Jobless.
Hongera sana mkuu, IT ni mtu wetu. Hatimaye kawa ndugu yako kabisa huko utumishi.
Kila mmoja atapata kwa siku yake!
 
Hongera man huu ni mwenzi wa malegend kulamba asali
 
Kila la kheri ukawe mtumishi bora
 
Hongera sana, kapige kazi tunakombea heri
 
Hongera sana mkuu..ukawe mtumishi mwema
 
Daaahh, hatimaye IT kafanya yake, ulimkaribisha sana Chapati, tena zikiwa za moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…