Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Namshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).

Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.

Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.

Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.
 
Safi Legendary mwingine huyu hapa kachomoka , Hongera mkuu
 
Namshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).

Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.

Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.

Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.
Daah noma sana,...hatimaye!! Hongera mzee, uzi utabaki na nani sasa!!!
 
Namshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).

Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.

Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.

Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.
Aisee mkuu hongera sana, nliipenda sana motive yako ya kupush pdf
 
Hongera sanaa🤝

Back
Top Bottom