Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu huu Uzi unnikataa kiaina sijui shida nn Niki scroll kusoma comment za juu inanigomea shida itakua nn?
Huenda kulikuwa na tatizo la kiu fundi, mimi mwenyewe kuanzia jana jioni hadi leo asubuhi nilikuwa nashindwa kufanya hivyo
 
Mliolamba asali mtufikishie salamu zetu masjala ya wazi hapo, tunahamu sana ya kuiona naamin na Sisi Ipo siku tutaenda Dodoma masjala ya wazi kuchukua barua. HONGERENI SANA MLIOLAMBA ASALI, shuhuda ni muhimu sana umu ninafurahi sana ninapoona shuhuda kwa Wana, Mkachape kazi wakuu
 
Unaangalia pdf ukiwa na imani kuwa utakuta jina lako af mwisho hulioni,kila pdf unaambulia patupu...jaman hii kitu inauma asikwambie mtu aisee,...
But Mungu ni mwema n wakat sahihi ni wakati wa Mwenyez Mungu..nitatoa ushuhuda wa kulamba asali nami hapa inshalla....
Hongera kwa wote mliolamba asali pdf la leo
Usikate tamaa [emoji1666]mapambano yaendeleee
 
Back
Top Bottom