Marcellojr
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 298
- 773
Inshallah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Congrats mwambaNamshukuru Mungu na mimi leo mishale ya sa moja kasoro nimeruka na kitu cha Halmashauri....
Mungu ni mwema... Nazidi kuwaombea wapambanaji Mungu akawafungulie njia....
kama una Selected both oral and App wewe subiri wakati tu...hii dhana ni ya ukweli
AEA ndio wanajiitaga the great nation siooo...hongera sana mfwendeMfwende mtoto wa Prof.kabudi...(AEA) wapinzani wakubwa wa BRD pale mazimbu
Hahahahh kuna vita kubwa sana na BRD paleAEA ndio wanajiitaga the great nation siooo...hongera sana mfwende
Umekaa mwaka kanzidata??? Hongera mkuuWakuu natoa shukran za dhati baada ya mwaka atimae nimefanikiwa kupitia kanzi data
Hongera sana Mheshimiwa, ukawe mtumishi mwema sana huko ulikopangiwaWakuu natoa shukran za dhati baada ya mwaka atimae nimefanikiwa kupitia kanzi data
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuuWakuu natoa shukran za dhati baada ya mwaka atimae nimefanikiwa kupitia kanzi data
Hongera sana kachape kaziWakuu natoa shukran za dhati baada ya mwaka atimae nimefanikiwa kupitia kanzi data
Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapyaWakuu natoa shukran za dhati baada ya mwaka atimae nimefanikiwa kupitia kanzi data
taasisi zimejipa vipi mamlaka? tafadhali naomba uelezeeUzi unafika mbali sana, taratibu naamin hawa utumishi watakwenda kufanya maajabu, na izo taasisi zilizojipa mamlaka ya kuajiri zenyewe naona zitarudishwa utumishi, Tunaiman na utumishi.
hongera sanaa ukawe mtunishi mwemaaaWakuu natoa shukran za dhati baada ya mwaka atimae nimefanikiwa kupitia kanzi data
hongera sana mzee.Wakuu natoa shukran za dhati baada ya mwaka atimae nimefanikiwa kupitia kanzi data
Hongera sana mwamba!!Wakuu natoa shukran za dhati baada ya mwaka atimae nimefanikiwa kupitia kanzi data
Ndio nilikua nimeshasahau mkuu Ata tangazo sikulionaUmekaa mwaka kanzidata??? Hongera mkuu