Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wakuu natoa shukran za dhati baada ya mwaka atimae nimefanikiwa kupitia kanzi data

Hongera sana mwamba,👊👊

Nakutakia maisha mema katika Utumishi wa Umma, hayo ni matunda ya uvumilivu wako katika utafutaji. Katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma na pia ili kuepukana na migogoro katika mazingira ya kazi.

Furahia mafanikio haya ukiwa na jamaa zako wa karibu mkila na kunywa vilivyo bora kwenu kwani haikuwa rahisi kufika hapo (kanzi data mwaka sio poa 😄 😄)

Pia kumbuka kutoa shukrani kwa kusaida makundi yenye uhitaji mkubwa katika jamii inayokuzunguka kama vile watoto yatima na walemavu, kufanya hivi itakusaidia sana kufunguka kwa mambo mengine mazuri ambayo hapo awali ilikuwa ni ndoto ndoto za alinacha.
 
Unaangalia pdf ukiwa na imani kuwa utakuta jina lako af mwisho hulioni,kila pdf unaambulia patupu...jaman hii kitu inauma asikwambie mtu aisee,...
But Mungu ni mwema n wakat sahihi ni wakati wa Mwenyez Mungu..nitatoa ushuhuda wa kulamba asali nami hapa inshalla....
Hongera kwa wote mliolamba asali pdf la leo
 
Haupo peke yako mkuu tuendlee na subiraa tuu ndugu
 
Unaangalia pdf ukiwa na imani kuwa utakuta jina lako af mwisho hulioni,kila pdf unaambulia patupu...jaman hii kitu inauma asikwambie mtu aisee,...
But Mungu ni mwema n wakat sahihi ni wakati wa Mwenyez Mungu..nitatoa ushuhuda wa kulamba asali nami hapa inshalla....
Hongera kwa wote mliolamba asali pdf la leo
Tupo wengi, tuendelee kuwa na Imani. Mungu atatutendea na sisi.
 
Back
Top Bottom