Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Wajumbe wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma leo walipata fursa ya kuupitia na kuukagua mfumo mpya wa usaili wa kuandika (Mchujo) unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni, mfumo ambao utawawezesha wasailiwa kufanya usaili wa kuandika (Mchujo) wakiwa katika Mikoa na Wilaya walipo tofauti na awali ambapo walilazimika kuingia gharama ya fedha na muda kusafiri hadi Mikoa mingine kwenda kufanya usaili.
 

Legend ameula congrats mzee.
 
Aiseee nimefurahi sanaaa Hongera sana Stelingi ulikuwa ukimshtua sana IT😅 hatimaye leo imekuwa nakutakia kila la heri katika utumishi #onelove❤️
 
Hongera sana kaka ,nimefurahi kwa ajili yako Asee
 
Hongera sana mwamba, hakika mumgu ni mwema na anatoa riziki kwa wakati sahihi.
 
IT ni mtu wetu[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Hongera sana kaka
 
Hongera sana star.
 
Hongera sana kaka
 
Hongera sanaaaa stelingi checknolis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…