Utumishi wako fair
JF-Expert Member
- Nov 12, 2021
- 429
- 1,340
Ungepangiwa Taasisi Ya Maana Wala usingeuliza ungeenda mwenyewe🥱🥱, Upangiwe BOT useme umtume Akuambie kadodosha ...Alafu uende tena masijara wakwambie Tunatoa moja tuUkiagiza MTU akakuchulie barua ya kupangiwa kituo cha kazi pale utumishi wanatoa?
Nani kasema nimejitoleaoyi mwamba unajivunia kujitolea nikupe pole!
KAMA WEWE MKALI WA KUJITOLEA , KWANN UKIENDESHA UTUMISHI WANA KUDOBOA MPKA LEO HUJAPATA AJIRA UNAJIFICHA KWENYE KUJITOLEA 🤣🤣🤣Nani kasema nimejitolea
Uko sahihi wengi hawawezi kushindana, mimi huwa nasema siku zote kuna taasisi kama NSSF watoa huduma wanaleta sana nyodo ni sababu hawa COMPETE hawajui ni jasho kiasi gani linatoka kufaulu written, Practical na Oral, hawajawahi kulala stand wala kupanda Lori kuhudhuria usaili kwa shuhuda za kina mfwende hapa huwezi tarajia mtu alete nyodo na dharau kazini.Asilimia 98, Wanaojitolea wakienda Utumishi wanapigwa za Uso... Unajua kwann?? Kwa sababu hata hizo nafasi za kujitolea walipata bila ushindani... Inshort compitent hawana.... So wakubwa wakaona Utumishi watawaulia watoto wao [emoji1787], wakaamua Taasisi ziajiri wenyewe ili wapenye.... Kama wako vizuri Wakitoka huko waende wakapigishwe paper la Utumishi.
DuhAsilimia 98, Wanaojitolea wakienda Utumishi wanapigwa za Uso... Unajua kwann?? Kwa sababu hata hizo nafasi za kujitolea walipata bila ushindani... Inshort compitent hawana.... So wakubwa wakaona Utumishi watawaulia watoto wao 🤣, wakaamua Taasisi ziajiri wenyewe ili wapenye.... Kama wako vizuri Wakitoka huko waende wakapigishwe paper la Utumishi.
Kamwe hawatoi.Ukiagiza MTU akakuchulie barua ya kupangiwa kituo cha kazi pale utumishi wanatoa?
Umesomea nnDah hongereni wakuu wengine course zetu mwaka unapita inatangazwa nafasi moja tu utumishi course zetu zipo kwenye hizo taasisi zinazoajiri zenyewe ni changamoto sana aiseee
Actuarial scienceUmesomea nn
Bonge la koziActuarial science
Ndoivo mkuu changamoto hatutambuliki ajira portal ni nadra sanaBonge la kozi
Namshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).
Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.
Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.
Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.
shukran sana kakaHongera sana brother
Toa salamu kwa watu wa halmashauri mkuu.Bonge la kozi
Huyu bwana na halmashauri ni paka na panya hajui watu wanamiliki mali za kutosha huko loco gavo.Toa salamu kwa watu wa halmashauri mkuu.
Hii kozi nilitaka niisome Ila nikaenda Accounting,Ndoivo mkuu changamoto hatutambuliki ajira portal ni nadra sana
Nani kakuambia mm nimejitolea tuanze hapo kwanzaKAMA WEWE MKALI WA KUJITOLEA , KWANN UKIENDESHA UTUMISHI WANA KUDOBOA MPKA LEO HUJAPATA AJIRA UNAJIFICHA KWENYE KUJITOLEA 🤣🤣🤣
Namshauri akachongeshe cheti kipya cha kuzaliwa hapo Rita.Wadau naomba msaada kwa ajili ya ndugu yangu ambaye majina yake yana dosari kidogo kwa herufi moja.
Chet cha kuzaliwa: Amos Agrey Mathias
Form four: Amos A Mathias
Form six: Amos A Mathias
Chuo: Amos A Mathias
NIDA: Amos Aggrey Mathias
Dosari jina la kati kati la cheti cha kuzaliwa limekosa herufi 'g' moja badala ya kuwa aggrey limeonekana agrey, je hili ni tatizo katika mchakato wa ajira? Na kama ni tatizo aanzie wapi?
Yes ameanza process mkuu shukraniNamshauri akachongeshe cheti kipya cha kuzaliwa hapo Rita.