Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Asilimia 98, Wanaojitolea wakienda Utumishi wanapigwa za Uso... Unajua kwann?? Kwa sababu hata hizo nafasi za kujitolea walipata bila ushindani... Inshort compitent hawana.... So wakubwa wakaona Utumishi watawaulia watoto wao 🤣, wakaamua Taasisi ziajiri wenyewe ili wapenye.... Kama wako vizuri Wakitoka huko waende wakapigishwe paper la Utumishi.
 
Asilimia 98, Wanaojitolea wakienda Utumishi wanapigwa za Uso... Unajua kwann?? Kwa sababu hata hizo nafasi za kujitolea walipata bila ushindani... Inshort compitent hawana.... So wakubwa wakaona Utumishi watawaulia watoto wao [emoji1787], wakaamua Taasisi ziajiri wenyewe ili wapenye.... Kama wako vizuri Wakitoka huko waende wakapigishwe paper la Utumishi.
Uko sahihi wengi hawawezi kushindana, mimi huwa nasema siku zote kuna taasisi kama NSSF watoa huduma wanaleta sana nyodo ni sababu hawa COMPETE hawajui ni jasho kiasi gani linatoka kufaulu written, Practical na Oral, hawajawahi kulala stand wala kupanda Lori kuhudhuria usaili kwa shuhuda za kina mfwende hapa huwezi tarajia mtu alete nyodo na dharau kazini.

Hawa NSSF and the likes wanatakiwa kufika College of informatics waandike mtihani.
 
Asilimia 98, Wanaojitolea wakienda Utumishi wanapigwa za Uso... Unajua kwann?? Kwa sababu hata hizo nafasi za kujitolea walipata bila ushindani... Inshort compitent hawana.... So wakubwa wakaona Utumishi watawaulia watoto wao 🤣, wakaamua Taasisi ziajiri wenyewe ili wapenye.... Kama wako vizuri Wakitoka huko waende wakapigishwe paper la Utumishi.
Duh
 
Namshukuru sana mwenyezimungu hatimaye IT leo kaposti pdf yenye jina langu. ( nimelamba asali).

Nawashukuru wataalamu wangu wote kwa sapoti yenu.

Kauli mbiu ni ileile tusikate tamaa bila shaka wadau wa huu uzi wote tutapata placement kwa idhini ya muumba.

Mwenyezimungu Awaongozeni, awabariki na azifurahishe nyoyo zenu.

Hongera sana brother
 
Wadau naomba msaada kwa ajili ya ndugu yangu ambaye majina yake yana dosari kidogo kwa herufi moja.

Chet cha kuzaliwa: Amos Agrey Mathias
Form four: Amos A Mathias
Form six: Amos A Mathias
Chuo: Amos A Mathias
NIDA: Amos Aggrey Mathias

Dosari jina la kati kati la cheti cha kuzaliwa limekosa herufi 'g' moja badala ya kuwa aggrey limeonekana agrey, je hili ni tatizo katika mchakato wa ajira? Na kama ni tatizo aanzie wapi?
Namshauri akachongeshe cheti kipya cha kuzaliwa hapo Rita.
 
Back
Top Bottom