Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Utumishi ni Bora sana kwasasa kuliko zamani hata kama sijapata kazi lakini naona Kuna uelekeo
 
Hapa umevuruga sasa[emoji23][emoji23][emoji23], mimi sio jobless wala mwenye job sasa hivi natafuta maisha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚boss naomba buku hapo maisha achana nayo tutayakuta mbinguni hahhh
 
hawa watu hawatabiriki,ndo maana wanafanyagwa machizi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna hiyo manzi nilitoka nayo chuo aseeh ilivyoniacha nilikuja kusikia tu kaolewa simu zake hazikupatika ikabidi nicheke tu hahhhhh
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kumbe ulipigwa tu kibuti ila hukuchunwa,hiyo kawaida jombaa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila wewe umefanya nicheke sana leo
 
Hahaha, kabisa Mkuu, kuna muda unaweza tamani Mungu aunde kiumbe kipya mbadala ya mwanamke.

Mwanamke ameshindwa kutimiza majukumu yake ipasavyo, badala yake amejikita kwenye jukumu la TRA (Kukusanya mapato).
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo mwishoni mbavu sina
 
Bora PSRS huku makazini wamejaa makabila fulani tu, now tunaona kuna changes kidogo na ufanisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…