Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Mie siongelei POLITICAL POST kama RC au DC,lakini hata huo U-DED ambao umegeuzwa wa makada hizo ni loopholes kwenye constitutions.Hata hivyo employer/entities zinazotaka kuajiri bado zinashirikishwa katika some stages kama shortlisting au selections za interview panels lakini hapo kuna check and balance ya PSRS kuhakikisha vigezo mbalimbali kama vya scheme of service(wakati wa Shortlisting) au ku-check conflict of interest(wakati wa selection of Panels etc) .Naongea haya kwa uzoefu kama Senior Citizen ambaye nimeyshahudia katika taasisi nilizowahi kufanyia kazi,kuna Taasisi Moja ya Umma nilifanyia kazi mwanzoni ilikuwa na Menejimenti ya Wazungu tulikuwa tunawachagua vijana based on merits,lkn walivyokamata waswahili sarakasi zilikuwa zinaanzia HR au VIMEMO mpaka inafika sehemu hata wewe line manager unayehitaji mtumishi unaletewa mtu incompetent just because ana conncetion na mtu fulani,matokeo yake Shirika linajaa kabila fulani tu au watu fulani.Hivyo naona bado PSRS ni the best in my opinion
Utumishi ni Bora sana kwasasa kuliko zamani hata kama sijapata kazi lakini naona Kuna uelekeo
 
Hapa umevuruga sasa[emoji23][emoji23][emoji23], mimi sio jobless wala mwenye job sasa hivi natafuta maisha
😂😂😂😂boss naomba buku hapo maisha achana nayo tutayakuta mbinguni hahhh
 
Haya mambo haya, naomba nitoe ushuhuda, me kipindi nipo chuo nlikuwa na hela mno, ni hivi vibiashara vyangu na kidogo walezi wangu walikuwa vizuri na elimu wanaithamini sana. Nlikuwa na boy friend wangu akiniomba 5000, 10,000 sion shida kumpa. Kidogo kwao hawakuwa vizuri na yeye ndo first born, vitu vya ndani nanunua nampa, akija hostel namchambulia vitu nampa, hadi nlimpa jiko la umeme awe anapikia kwake maana chuo warden alikaza. Inshort nlimbeba sana. Nauli za chuo nampa hapo yeye ndo anasoma CPA. Aisee baadae akalamba asali bana TRA, kama custom officer, na mimi nkamaliza chuo maisha yakanipiga, akabadilika kabisa kabisa, nkawa nalia na mapenzi wee[emoji23][emoji1787], akahamishiwa Dar nkahisi labda shida ilikuwa long distance rship, Dar wakamuweka TPA, aisee na mapenzi yakaisha kabisa na mimi nkasema hamna changu hapa, kama ni pesa najua kuitafuta. From then aisee nkajisemea kumbe haya mambo sio ya wadada peke yao. Ata mdada unaweza mvumilia jobless mwenzio hapa akilamba asali tu ndo anakuonaje sijui [emoji1787]. Kikubwa upendo tu.
hawa watu hawatabiriki,ndo maana wanafanyagwa machizi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna hiyo manzi nilitoka nayo chuo aseeh ilivyoniacha nilikuja kusikia tu kaolewa simu zake hazikupatika ikabidi nicheke tu hahhhhh
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kumbe ulipigwa tu kibuti ila hukuchunwa,hiyo kawaida jombaa
 
Hahaha, duh! Mkuu, mbona mnafanya maisha ya Jf yawe magumu sana.

Hili jibu lako limenifanya niende kutafuta Panadol kupoza maumivu.

Hujui tu hiyo picha yako ni kwa kiasi gani imefanya wanaume humu tukupe ukarimu wa hali ya juu.

Siumeona wizy alivyokuwa anapata tabu ya kuhakikisha kila ujumbe wako anaukomenti, unadhani angejua ni kidume mwenzetu angehangaika!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila wewe umefanya nicheke sana leo
 
Hahaha, kabisa Mkuu, kuna muda unaweza tamani Mungu aunde kiumbe kipya mbadala ya mwanamke.

Mwanamke ameshindwa kutimiza majukumu yake ipasavyo, badala yake amejikita kwenye jukumu la TRA (Kukusanya mapato).
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hapo mwishoni mbavu sina
 
Sijui hili linatawaliwa na njia inayotumika sasa hivi???? sidhani hata kidogo, kuna mifano mingi watu walifanyiwa usahili wakachukuliwa wachache na kuwakuta wenzao wameanza kazi siku nyingi wala hawakufanya interview yenyewe. Hata hao waliopo huko wanaweza kupewa rushwa na upendeleo unaouzungumza ukafanyika. This is TZ bana!!!!!.

Tulitoka huko na kulikuwa na sababu lukuki kwa nini entities zinazotaka mfanyakazi kuhusika/ku-recriuit staff wao, miaka ile ya Structural adjustment haya yalipendekezwa na kutekelezwa kwa kipindi kirefu, kilichotakiwa sio kurudi kwenye cetralization rather tungeuboresha. Mwenye kujua staff anaemtaka ni employer/entity inayotaka kuajiri sio wale huko. Kingine nilichokiona ni sababu za kisiasa zaidi kuliko uhalisia na kuzungumzia upendeleo wa kindugu n.k. Siku hizi post zote zimekuwa za kisiasa wakurugenzi wa halmashauri/ majiji nk. wamekuwa makada wa chama pendwa kwa malengo ya kushinda uchaguzi na kutoka kwenye mfumo uliopendekezwa na UNDP miaka ile. Sababu nyingine ni siasa tu na sio nepotism. Hata makarani wa Sensa walitembea na vimemo vya chama pendwa ili waajiriwe acheni hii.
Bora PSRS huku makazini wamejaa makabila fulani tu, now tunaona kuna changes kidogo na ufanisi.
 
Back
Top Bottom