Stelingi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 703
- 1,928
😂😂😂😂 we jamaa bhn.Hivi ukifika Kureport ukakuta HR na staff wanakula mihogo na chai ya rangi inakuwa ina maanisha nini?
Hiyo hali ifananishe na mjusi halafu ujobless( ulikotoka ) fananisha na simba then unachagua wa kufight nae😄