Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
π π π π πHivi ukifika Kureport ukakuta HR na staff wanakula mihogo na chai ya rangi inakuwa ina maanisha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π π πHivi ukifika Kureport ukakuta HR na staff wanakula mihogo na chai ya rangi inakuwa ina maanisha nini?
Ujue moja ya tatu inakuhusu[emoji23]Hivi ukifika Kureport ukakuta HR na staff wanakula mihogo na chai ya rangi inakuwa ina maanisha nini?
Kafanye kazi mkuu π π πHivi ukifika Kureport ukakuta HR na staff wanakula mihogo na chai ya rangi inakuwa ina maanisha nini?
Inashtua kamanda private sector tulikuwa tukinywa maziwa na chapati na yai moja mkuuKafanye kazi mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]
Mihogo mkuu mbona kitafuno kizuri Tu. Kifupi ndicho kinachopatikana kweny hayo mazingira, pia ni maamuzi Tu mkuu Ila kisikutishe piga kazi mkuu.Hivi ukifika Kureport ukakuta HR na staff wanakula mihogo na chai ya rangi inakuwa ina maanisha nini?
Inamaanisha wana ka life style fulani ambako sio lazima wewe ukafuate.Hivi ukifika Kureport ukakuta HR na staff wanakula mihogo na chai ya rangi inakuwa ina maanisha nini?
Haimaanishi chochote kwenye maswala ya uchumi mkuu?Mihogo mkuu mbona kitafuno kizuri Tu. Kifupi ndicho kinachopatikana kweny hayo mazingira, pia ni maamuzi Tu mkuu Ila kisikutishe piga kazi mkuu.
Hatari mkuuInamaanisha wana ka life style fulani ambako sio lazima wewe ukafuate.
Hivi ukifika Kureport ukakuta HR na staff wanakula mihogo na chai ya rangi inakuwa ina maanisha nini?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahah itakuwa umepangwa Halmashauri mkuu
Hamna chochote hapo mkuu, ni sauala la chaguo Tu Ilo.Haimaanishi chochote kwenye maswala ya uchumi mkuu?
Wameisha kumbe mbona fasta?Eti wanatangaza Tena lini kazi za CDOs? Mtu akiona Tangazo naomba Ani pm.maana nadhani Leo CDOs tumemelizana na IT kwa nafasi zilizotangazwa 800
Hapana aisee, usipojiona na hata mtu hajakushtua kuna muda ule ulioweka ukipita bila kuifata barua, basi jina linatolewa na anapewa mwingine kwenye database sababu ikiwa haujafata baruahongereni wote mliobahatika. Naomba kuuliza hv kama umepata kazi before hawajatoa majina watakutafuta au inakuaje, maana kama sifuatilia website je
Duh washafika 800?Eti wanatangaza Tena lini kazi za CDOs? Mtu akiona Tangazo naomba Ani pm.maana nadhani Leo CDOs tumemelizana na IT kwa nafasi zilizotangazwa 800
Ngoja tukomae mkuu wenda ni mtegoHahaaaaaaaaa ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ,we jamaa bwana
Usiogope ,kapige kazi
Mm nahis Bado hazijamaliz 800 mbon mara tDuh washafika 800?
Kanzi data itaendelea na kazi yakeEti wanatangaza Tena lini kazi za CDOs? Mtu akiona Tangazo naomba Ani pm.maana nadhani Leo CDOs tumemelizana na IT kwa nafasi zilizotangazwa 800
Bado kidogo nduguEti wanatangaza Tena lini kazi za CDOs? Mtu akiona Tangazo naomba Ani pm.maana nadhani Leo CDOs tumemelizana na IT kwa nafasi zilizotangazwa 800