Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

hongereni wote mliobahatika. Naomba kuuliza hv kama umepata kazi before hawajatoa majina watakutafuta au inakuaje, maana kama sifuatilia website je
Hapana aisee, usipojiona na hata mtu hajakushtua kuna muda ule ulioweka ukipita bila kuifata barua, basi jina linatolewa na anapewa mwingine kwenye database sababu ikiwa haujafata barua

Ila kwa namna mitandao ilivyo sasa ni ngumu sana jina lako kutoka halafu usionekane lazima tu kuna mtu anayekufahamu atakushtua

Nahisi Asilimia 90% au zaidi humu na kwa wengi walijua wamepata ajira kupitia kujulishwa

binafsi yangu nilishangaa tu meseji za hongera kama zote ndio nikaingia mtandaoni kuthibitishaπŸ˜‚
 
samahani jamani, naomba kwa mliopata kazi mnisaidie connection ya sehemu mlizotoka, kama kuna mtu alikua anafanya private, au hata mtu yeyote anayehitaji mfanyakazi kwenye ofisi yake labda naomba, pia kama mtu anajua sehemu wanahitaji mfanyakazi naomba aniunganishe, nina degree ya sociology, lakin kazi yoyote tu nahitaji
 
Back
Top Bottom