El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
wale wakila mihogo wanakufa..Haah...yaani miogo roho inakata ukisikiliza wenzako wako BOT,TPDC sidhani kama kuna miogo kule.
Ila kitaa nacho cha moto.
Ofisi kama hiyo ukinunua wali wanasema unadharau
😂😂😂 Ila jobless tuna hisia Kali Sana na maono ya mbali mno😂😂😂Haah...yaani miogo roho inakata ukisikiliza wenzako wako BOT,TPDC sidhani kama kuna miogo kule.
Ila kitaa nacho cha moto.
Ofisi kama hiyo ukinunua wali wanasema unadharau
Headquarter sio mbaya sana hasa hamashauri zenye makusanyo Ilala, Kinondoni,Dodoma,Temeke, Mafinga,Arusha, Songea. Pia inategemea fani yako ila ngoja ninyamazeSasa mtu unaenda halmashauri unategemea ukute watu wanakunywa supu kweli jamani
naskia eti halmashauri nyingine wanakunywa mpaka chai na zambarau ni kweli..?Headquarter sio mbaya sana hasa hamashauri zenye makusanyo Ilala, Kinondoni,Dodoma,Temeke, Mafinga,Arusha, Songea. Pia inategemea fani yako ila ngoja ninyamaze
Kuna watumishi wa halmashauri baadhi wako vizuri sana. Nikucheza Tu na fursa hasa baadhi ambao wapo vijijin uko asee kuna ambao ukiwaona unakataa unaweza Sema ndo wakuu wa mikoa, vijijin uku watu wanapokataa ndo kuna fursa sasaSasa mtu unaenda halmashauri unategemea ukute watu wanakunywa supu kweli jamani
Lima, fuga mambo maisha yaendeleeKuna watumishi wa halmashauri baadhi wako vizuri sana. Nikucheza Tu na fursa hasa baadhi ambao wapo vijijin uko asee kuna ambao ukiwaona unakataa unaweza Sema ndo wakuu wa mikoa, vijijin uku watu wanapokataa ndo kuna fursa sasa
ni kweli watu hawajui tu.inategemea kuna watu halmashauri wanapesa chafu..Kuna watumishi wa halmashauri baadhi wako vizuri sana. Nikucheza Tu na fursa hasa baadhi ambao wapo vijijin uko asee kuna ambao ukiwaona unakataa unaweza Sema ndo wakuu wa mikoa, vijijin uku watu wanapokataa ndo kuna fursa sasa
Mkuu mtumishi anamiliki trecta 2 messsey Ferguson 375 na ana ekari Zaid ya 50+ bado izo nyingine sasa, mi naomba Mungu nipate Ajira vijijin uku, hakuna stressLima, fuga mambo maisha yaendelee
Good!Mkuu mtumishi anamiliki trecta 2 messsey Ferguson 375 na ana ekari Zaid ya 50+ bado izo nyingine sasa, mi naomba Mungu nipate Ajira vijijin uku, hakuna stress
Kuna mkoa X niliwahi kuishi katika kijijin flani IV iyo sehemu ilikuwa na changamoto ya usafiri na Raia ni wengi sana mpaka kufika mjini nikama km23 IV mtumishi mmoja mwema na mwadilifu alikuwa ni mwalimu akaigeuza fursa, saiv hapo shuleni anafundisha mpaka jumamos ili Tu asihamishwe uko aliponi kweli watu hawajui tu.inategemea kuna watu halmashauri wanapesa chafu..
Sasa kuna watumishi wako visima vya asali hawachezi na fursa na wanakula maisha.Kuna watumishi wa halmashauri baadhi wako vizuri sana. Nikucheza Tu na fursa hasa baadhi ambao wapo vijijin uko asee kuna ambao ukiwaona unakataa unaweza Sema ndo wakuu wa mikoa, vijijin uku watu wanapokataa ndo kuna fursa sasa
Mtu.anayemiliki hivi vitu ana miaka 20 kaziniMkuu mtumishi anamiliki trecta 2 messsey Ferguson 375 na ana ekari Zaid ya 50+ bado izo nyingine sasa, mi naomba Mungu nipate Ajira vijijin uku, hakuna stress
TPDC huko kuna majini wanywa pesa..Sasa kuna watumishi wako visima vya asali hawachezi na fursa na wanakula maisha.
Mhasibu halmashauri analipwa laki 9 hapohapo Mhasibu wa TPDC unadhani analipwa tsh ngapi.
Unasema ukamatie fursa unadhani kupata fursa ni kazi rahisi kwenye kulima ,
Hahaaaaaaa , lazima wakupige Majungu , watasema ,"haya madogo yamepata kazi juzi tu hapa yanajifanya kula vinono "Haah...yaani miogo roho inakata ukisikiliza wenzako wako BOT,TPDC sidhani kama kuna miogo kule.
Ila kitaa nacho cha moto.
Ofisi kama hiyo ukinunua wali wanasema unadharau
Hahaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]El marabiosh bhana ! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naskia eti halmashauri nyingine wanakunywa mpaka chai na zambarau ni kweli..?
Halmashauri ya mbeya town utaifananisha na kitetoHahaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]El marabiosh bhana ! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
........Upo taasisi gani mzee?Sasa kuna watumishi wako visima vya asali hawachezi na fursa na wanakula maisha.
Mhasibu halmashauri analipwa laki 9 hapohapo Mhasibu wa TPDC unadhani analipwa tsh ngapi.
Unasema ukamatie fursa unadhani kupata fursa ni kazi rahisi kwenye kulima ,
Hawaangalii Gpa serikalini labda TAJamani Kwa watu wenye GPA ya 2.0 mpaka 2.6 anaweza akapata kazi serikalini? Kupitia utumishi
Haitakusaidia kitu........Upo taasisi gani mzee?