El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
wale wakila mihogo wanakufa..Haah...yaani miogo roho inakata ukisikiliza wenzako wako BOT,TPDC sidhani kama kuna miogo kule.
Ila kitaa nacho cha moto.
Ofisi kama hiyo ukinunua wali wanasema unadharau