captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Yes inawezekana mkuu kikubwa Una passJamani Kwa watu wenye GPA ya 2.0 mpaka 2.6 anaweza akapata kazi serikalini? Kupitia utumishi
Jaman kweli maana nilishakata tamaa kuomba kazi serikalini nikajua ni GPA yangu Ina shida [emoji24][emoji24][emoji24] ngoja niwe najaribu sasaYes inawezekana mkuu kikubwa Una pass
Jamani Kwa watu wenye GPA ya 2.0 mpaka 2.6 anaweza akapata kazi serikalini? Kupitia utumishi
Jisajili na Mfumo wa PSRS mkuu, izo GPA hawazingatii sana labda kwa baadhi ya kazi zenye uhitaji wa GPA. Kikubwa we ongeza received usichoke ata kama nafasi ni moja.Jaman kweli maana nilishakata tamaa kuomba kazi serikalini nikajua ni GPA yangu Ina shida [emoji24][emoji24][emoji24] ngoja niwe najaribu sasa
GPA na kupata kazi havina uhusiano mkuu,
Kwenye usaili mtu mwenye PASS anaweza kumbwaga mwenye UPPER 2ND au 1ST CLASS.
AsanteJisajili na Mfumo wa PSRS mkuu, izo GPA hawazingatii sana labda kwa baadhi ya kazi zenye uhitaji wa GPA. Kikubwa we ongeza received usichoke ata kama nafasi ni moja.
Alikopa akanunua Coaster used?Kuna mkoa X niliwahi kuishi katika kijijin flani IV iyo sehemu ilikuwa na changamoto ya usafiri na Raia ni wengi sana mpaka kufika mjini nikama km23 IV mtumishi mmoja mwema na mwadilifu alikuwa ni mwalimu akaigeuza fursa, saiv hapo shuleni anafundisha mpaka jumamos ili Tu asihamishwe uko alipo
Ni kucheza na fursa Tu mkuuAlikopa akanunua Coaster used?
Hizo zinakuwa ni bahati tu na zinatokea kwa MTU yeyote. Mfano kuna jamaa yangu tuko nae halmashauri alikuwa na kiwanja Dodoma mjini kikubwa tu alinunua zamani mwaka 2006/7 kwa milioni 10. Amekuja kuuza kile kiwanja mwaka jana milioni 150.
Huyu mtumishi mmoja aliyepenya haifanyi halmashàuri nzima kuwa na maisha mazuri. Ukimuangalia yeye utasema mbona ana maisha mazuri tu bila ya kujua nyuma ya pazia kuna nini.
Hahah itakuwa umepangwa Halmashauri mkuu
Kiteto kuna hela aisee usipime
Hela sehemu ipi maporini hukoKiteto kuna hela aisee usipime
........HongeraHaitakusaidia kitu
Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga vipi?
Shukrani sana ndugu.Hongera sana mkuu
Shukrani sana ndugu yangu.Hongera sana mkuu kila la kheri kwenye majukumu yako mapya
Asante sana ndugu.Hongera masta
Shukrani sana Mkuu, wanajamii hapa wamepata mtu haswaa.Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu, kila la kheri mkuu
Wadau mliopata Placement na wakongwe wengine akina @Mwifa mfwende sawadogo Stelingi @Placement tupeni majibu hapaHivi wadau ukipata placement kwenye app huwa inaonyesha sehemu uliyopata kazi ?