Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jaman kweli maana nilishakata tamaa kuomba kazi serikalini nikajua ni GPA yangu Ina shida [emoji24][emoji24][emoji24] ngoja niwe najaribu sasa
Jisajili na Mfumo wa PSRS mkuu, izo GPA hawazingatii sana labda kwa baadhi ya kazi zenye uhitaji wa GPA. Kikubwa we ongeza received usichoke ata kama nafasi ni moja.
 
Kuna mkoa X niliwahi kuishi katika kijijin flani IV iyo sehemu ilikuwa na changamoto ya usafiri na Raia ni wengi sana mpaka kufika mjini nikama km23 IV mtumishi mmoja mwema na mwadilifu alikuwa ni mwalimu akaigeuza fursa, saiv hapo shuleni anafundisha mpaka jumamos ili Tu asihamishwe uko alipo
Alikopa akanunua Coaster used?
Hizo zinakuwa ni bahati tu na zinatokea kwa MTU yeyote. Mfano kuna jamaa yangu tuko nae halmashauri alikuwa na kiwanja Dodoma mjini kikubwa tu alinunua zamani mwaka 2006/7 kwa milioni 10. Amekuja kuuza kile kiwanja mwaka jana milioni 150.
Huyu mtumishi mmoja aliyepenya haifanyi halmashàuri nzima kuwa na maisha mazuri. Ukimuangalia yeye utasema mbona ana maisha mazuri tu bila ya kujua nyuma ya pazia kuna nini.
 
Ni kucheza na fursa Tu mkuu
 
Back
Top Bottom