Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Jamaa wamenitesa sana. Nilikuwa sina access ya kuingia kwenye huu uzi kwa muda mrefu bila sababu ya msingi.

Sijui JF imeanzisha utaratibu wa kuban mtu asiweze kuingia kwenye uzi fulani. Hata hivyo hakuna kosa ninalokumbuka nilifanya.

Endapo ni tatizo la kimfumo, uongozi unajukumu kubwa sana la kufanya maboresho, hii ni aibu.
 

Ndugu yangu hongera sana. Yani unafika mpaka oral! Wewe siku yako ya kutoka kimasomaso iko karibu kupita maelezo.

Wengine tunaowapambania wachomoke hawajawahi kufika oral na hata matangazo ya nafasi zao za kazi ni adimu kuyaona miaka nenda rudi.

Hongera tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…