Hongera kaka... CDO hazishi leo wala kesho...hzi zinaweza kutoboa hata 1200 hukoDaaah hatimae pdf ya Leo nami nmesomeka, nkawa najisemea km nafasi za cdo zimeisha basi imekula kwangu ila MUNGU ni mwema sana.
Hongera sana mwamba!!Daaah hatimae pdf ya Leo nami nmesomeka, nkawa najisemea km nafasi za cdo zimeisha basi imekula kwangu ila MUNGU ni mwema sana.
Hongera sana na hongereni mnaoendelea kulamba Asali!Daaah hatimae pdf ya Leo nami nmesomeka, nkawa najisemea km nafasi za cdo zimeisha basi imekula kwangu ila MUNGU ni mwema sana.
Mkuu naomba unipe hiyo post Yako wewe uendelee kusubiria kwenye chai ya maziwa.Leo wamenitambulisha kwa mama wa mihogo na chai ya rangi, supu anayoijua ni supu ya kande nipeni procedure za transfer.
Hongera sana sana. Mungu akutangulie kwenye majukumu Yako.IT wali tayar...
hongera ya nin tena..Hongera sana sana. Mungu akutangulie kwenye majukumu Yako.
Nilikuwa nampongeza brayanca sorryhongera ya nin tena..
ok..Nilikuwa nampongeza brayanca sorry
Hahaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2],vipi tena ?IT acha mambo ya kijinga bas..
Majamaa yanazidi kutukazia fani yetu hii mwanangu ,Dah !hongera ya nin tena..
Asante sana ndugu yangu, huku sio wakaka tu tuko na sisi kina dadaHongera kaka... CDO hazishi leo wala kesho...hzi zinaweza kutoboa hata 1200 huko
Asante sana MUNGU ni mwemaHongera sana na hongereni mnaoendelea kulamba Asali!
yanataka tuwe vibaka 🤣 🤣.ila injinia wa trc ametoka electrical sio mbaya.....Majamaa yanazidi kutukazia fani yetu hii mwanangu ,Dah !
Yah ! Artisan , huwa ni diploma haoyanataka tuwe vibaka [emoji1787] [emoji1787].ila injinia wa trc ametoka electrical sio mbaya.....
Hongera sana mkuuDaaah hatimae pdf ya Leo nami nmesomeka, nkawa najisemea km nafasi za cdo zimeisha basi imekula kwangu ila MUNGU ni mwema sana.
no huyo wa signaling ni electrical engineer..Yah ! Artisan , huwa ni diploma hao
Asante sana ndugu yanguHongera sana mkuu
Hongera sana mkuuDaaah hatimae pdf ya Leo nami nmesomeka, nkawa najisemea km nafasi za cdo zimeisha basi imekula kwangu ila MUNGU ni mwema sana.