Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Habari ,samahani hii ni nje ya mada natarajia kureport kazin kusajiliwa lakini na changamoto na majina.Majina yangu yote kuanzia vyeti vyote na chet Cha kuzaliwa vinafana ila nida ndo lilikosewa jina la Kati.Tayari Nina deed pool je wanaweza hitaji kitu kingine ..Msaada tafadhali
 
Placement za sahili zikitoka faster inasaidia mtu kujua anajipanga vipi , sasa unakuta wako slow kichizi , kazi ya nafasi 30 wanachukua zaidi ya miezi mitano kutoa Placement , hii haifai .
Waliangalie hili
 
Wewe nenda kareport kwanza. Hayo mengine yatafanyika baadaye
 
Naomba msaada nina mda mrefu nimefatilia Habar za Kuitwa kazini.. je nikiangalia App nkakuta hakuna kitu inawezekana nikawa nshaitwa au ukiitwa tu automatically Na App yako inaonesha placements.
 
Placement za sahili zikitoka faster inasaidia mtu kujua anajipanga vipi , sasa unakuta wako slow kichizi , kazi ya nafasi 30 wanachukua zaidi ya miezi mitano kutoa Placement , hii haifai .
Waliangalie hili

Kweli kabisa. Mimi naamini huwa majina ya watu wanayo ile ile siku oral imefanyika. Mbona majibu kutoka inakuwa inavuuutwa kama nini yaani. Wawe wanayatoa tu mapema watu wawaze vitu vingine. Maana mda mwingi mtu anafikiria PSRS tu.
 
Yah ! , Unakuwa unakosa hata nguvu ya kuhudhuria au kujipanga na sahili nyingine au kujua kipi ni kipi aisee .
 
Afu pia unakuta watatoa placement za shirika fulani, ila wanatoa majina nusu nusu aisee[emoji1430][emoji1430]. Inakuwa ngumu mno kwetu tunaosubiri. Maana gata subira imechoka kuvuta kheri, imeanza kuvuta shisha[emoji25]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kabisa
 
Back
Top Bottom