Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahaaaa , pole Engineer .
Civil wao ni kula shavu tu kila mkeka aisee,tena Data base , sisi hata hizo nafasi chache tulizofanya usahili hawataki kutoa Placement .
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
We acha tu kaka daaah. !
 
Kweli kabisa. Mimi naamini huwa majina ya watu wanayo ile ile siku oral imefanyika. Mbona majibu kutoka inakuwa inavuuutwa kama nini yaani. Wawe wanayatoa tu mapema watu wawaze vitu vingine. Maana mda mwingi mtu anafikiria PSRS tu.
Mzee hii ni issue sensitive sana sio ajira za mkataba.

Siku utakapomaliza oral unatengenezwa mkeka wa oral wa kwanza na wa mwisho majina yanarudi kwao utumishi .

Wanaangalia wanahitaji watu wangapi wanaselected na kuwaandalia barua wakimaliza hapo lazima wawasiliane na taasisi iliyotangaza ajira na lazima karibu asaini majina na barua zoezi hilo nadhani hadi miezi miwili mitatu kuchukua.

So shida Sio kufanya interview shida mchakato
 
Ndio , halafu wamesepa na kijiji kama mara tatu hivi tangia huu mwaka uanze kwa watu wa civil .
 
Naomba msaada nina mda mrefu nimefatilia Habar za Kuitwa kazini.. je nikiangalia App nkakuta hakuna kitu inawezekana nikawa nshaitwa au ukiitwa tu automatically Na App yako inaonesha placements.
.......Angalia PDF walizotoa ndio utajua.
 
Back
Top Bottom