El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
pole sana ndugu yangu mie nataka nikaanze first year afisa mifugo.Mechanical Engineer nipo apa aisee sio poa, nataka nikasome civil tu maana wanaupiga mwingi🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole sana ndugu yangu mie nataka nikaanze first year afisa mifugo.Mechanical Engineer nipo apa aisee sio poa, nataka nikasome civil tu maana wanaupiga mwingi🤣
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], mfwende sawadogo tunataka maelekezo hapa , tunataka tuingie SUA aiseepole sana ndugu yangu mie nataka nikaanze first year afisa mifugo.
Sio poa aisee, huyu subira wangu kavuta kheri weee sasa naona kabisa anaenda kuvuta bangi. . !pole sana ndugu yangu mie nataka nikaanze first year afisa mifugo.
We acha tu kaka daaah. !Hahaaaa , pole Engineer .
Civil wao ni kula shavu tu kila mkeka aisee,tena Data base , sisi hata hizo nafasi chache tulizofanya usahili hawataki kutoa Placement .
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hamuwezi saizi akili zinawaza placement... pale msuli kama secondary mtasidisco bure tu akili zinawaza placement hamuwezi saiz[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], mfwende sawadogo tunataka maelekezo hapa , tunataka tuingie SUA aisee
Hivi wale wanaochukuliwa(civil) Tanroad ni kutoka database pia?Hahaaaa , pole Engineer .
Civil wao ni kula shavu tu kila mkeka aisee,tena Data base , sisi hata hizo nafasi chache tulizofanya usahili hawataki kutoa Placement .
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
msuli sio kesi.shida inakuja pale umegraduate alafu unakuta IT kaamishia upepo kada nyingine.si ndo mwanzo wa kujikili uo..Hamuwezi saizi akili zinawaza placement... pale msuli kama secondary mtasidisco bure tu akili zinawaza placement hamuwezi saiz
Mzee hii ni issue sensitive sana sio ajira za mkataba.Kweli kabisa. Mimi naamini huwa majina ya watu wanayo ile ile siku oral imefanyika. Mbona majibu kutoka inakuwa inavuuutwa kama nini yaani. Wawe wanayatoa tu mapema watu wawaze vitu vingine. Maana mda mwingi mtu anafikiria PSRS tu.
Bado bado mkuu endelea kusikilizia,Kuna watu tulifanya interview pale mjengoni Dodoma yaani mkeka wetu olaaa till today kada ilikuwa producure TBC.
Aisee sijauona mkeka leo tunatimiza miezi miwili
Aisee ni nomamsuli sio kesi.shida inakuja pale umegraduate alafu unakuta IT kaamishia upepo kada nyingine.si ndo mwanzo wa kujikili uo..
Aisee ni nomamsuli sio kesi.shida inakuja pale umegraduate alafu unakuta IT kaamishia upepo kada nyingine.si ndo mwanzo wa kujikili uo..
Mi nitaweza tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ,ilimradi asali ya serikali ilambweHamuwezi saizi akili zinawaza placement... pale msuli kama secondary mtasidisco bure tu akili zinawaza placement hamuwezi saiz
Bado bado hadi lini ..Bado bado mkuu endelea kusikilizia,
.......Angalia PDF walizotoa ndio utajua.Naomba msaada nina mda mrefu nimefatilia Habar za Kuitwa kazini.. je nikiangalia App nkakuta hakuna kitu inawezekana nikawa nshaitwa au ukiitwa tu automatically Na App yako inaonesha placements.
Miezi miwili mbona michache sana mkuu endelea kusubiriKuna watu tulifanya interview pale mjengoni Dodoma yaani mkeka wetu olaaa till today kada ilikuwa producure TBC.
Aisee sijauona mkeka leo tunatimiza miezi miwili
Miezi mingapi ionekane haijachelewaMiezi miwili mbona michache sana mkuu endelea kusubiri
AmenMungu atujaalie tulambe asalii wote humu.