Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu watakuambia Tu 😂 uvumilie,Miezi mingapi ionekane haijachelewa
Mazee Kwa hali ilivyo Hata kama ukatoka kwenye placement, salary kuingia ni agost 2024
Hatimaye siku imeisha IT kimya,[emoji24][emoji24][emoji24]
Miezi mingapi ionekane haijachelewa
Vipi mkuu ? ,ukata umezidi nini kwa Gavoo ?Mazee Kwa hali ilivyo Hata kama ukatoka kwenye placement, salary kuingia ni agost 2024
Tutarajie tarehe 20kesho sizani kama atatuacha salama..
dahh ngoja tusikilizie cha muhimu ni kuhakikisha Mb haziishi..Tutarajie tarehe 20
subiri 3 monthsMiezi mingapi ionekane haijachelewa
Tunasubiria Nusra ya WB, IMF,Vipi mkuu ? ,ukata umezidi nini kwa Gavoo ?
Kwanini tuna hisia hizo? Dawa ni kupasua mitihani tuu, yaani unaujibu kwa 100% hapo sasa ndo tuoneee
Na
Napokea mkuu[emoji120][emoji120][emoji120]
Ukiwa dereva usiogope faini za trafficMwambie pia, hatakufa njaa ila akishikwa atafungwa jela.