Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hello Dear IT.

Umeamkaje .

Umekunywa Chai au Jobless Tukuandalie.

Sasa Tasks ya asubuhi ya leo uende kwa ofisi ya katibu kaangalie kama lile file amesaini .

Nadhani kama amesaini na barua zimeandaliwa.

Fanya kulog in portal Shuda PDF.

PDF PDF PDF..linashuka[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
 
Taasisi kuajiri wenyewe ni Failure.
Mfano TRA wameng’ang’ania kuajiri wenyewe ila kusahisha tu mitihani phase one imewachukua mwezi mzima wakati sekretarieti saizi watu wangekua wanasubiri placement.

TRA hivi mnavyochelewesha ndo mnatengeneza mianya ya rushwa na kuchomekana. Mnasubiri nini hadi leo hamjatoa majibu? Ili watu waende oral. Hamkujipanga. It’s either mnasahisha sana, mnapanga safu zenu au PSRS walikua hawasahishi. Lipi ni jibu ila utaratibu huu watoto wa wakulima jua litawaka aisee maana 🙌🏼
 
Ningepata Nafasi Kuongea na Mheshimiwa Raisi ningemwambia, Baada ya mchakato kuisha na watu kupangiwa ajira , Watu wa ulinzi na usalama waichukue ile Mitihani wakaiangalie Tena ...Ikionekana kama kuna watu wamepata nafasi kwa kuchomekwa Wasiwatoe...ila wale wote waliohusika na Mchakato wa kuwapitisha wawaachishe kazi.... Nafikiri kuna kikundi kitapata Akili 😄

Kukaa muda mrefu kunafikirisha...Ni either wanasahihisha kwa umakini sana ,ili kila mtu apate haki yake.
 
Kukaa muda mrefu ni kuruhusu mianya ya rushwa hakuna cha zaidi! Week nne mnasahisha nini?? Au anasahisha kidata peke yake. Mi nakwambia wanachomeka watu wao
Huko
 
Back
Top Bottom