Asante mkuu hii nmepga naona haiko hewan.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu hii nmepga naona haiko hewan.
Jaribu pia kurudia rudia kuipigiaAsante mkuu hii nmepga naona haiko hewan.
PSRS wameshanifanya teja! Kila baada ya muda naingia kucheki PDF. Nikikosa MB naugua kabisa
Acha tu. Unaugua ugonjwa usiojulikana tiba!Yaani, yaani. Unajikuta kila saa upo kwa site yao. Mungu ni mwema, kila kitu kitakuwa sawa.
IT malizia basi hiyo ya August na September[emoji16]
Huyo IT yupo humu kweli ili tumnong'oneze aharakishe maana tunakaribia kupelekwa sobber house.Yaani, yaani. Unajikuta kila saa upo kwa site yao. Mungu ni mwema, kila kitu kitakuwa sawa.
IT malizia basi hiyo ya August na September[emoji16]
Kuna za June hata hazijakamilika Placement , mi ningeshauri wawe wanamaliza kwanza sahili za nyuma kuliko hii vululu vululu.Huyo IT yupo humu kweli ili tumnong'oneze aharakishe maana tunakaribia kupelekwa sobber house.
Aisee jioni IT apewe biriani kuku nzitoo aachiee pdf moja nene 👌IT naona umezima kimulimuli kimoja.jioni biriani...
Wewe nenda kareport kwanza. Hayo mengine yatafanyika baadayeHabari ,samahani hii ni nje ya mada natarajia kureport kazin kusajiliwa lakini na changamoto na majina.Majina yangu yote kuanzia vyeti vyote na chet Cha kuzaliwa vinafana ila nida ndo lilikosewa jina la Kati.Tayari Nina deed pool je wanaweza hitaji kitu kingine ..Msaada tafadhali
Placement za sahili zikitoka faster inasaidia mtu kujua anajipanga vipi , sasa unakuta wako slow kichizi , kazi ya nafasi 30 wanachukua zaidi ya miezi mitano kutoa Placement , hii haifai .
Waliangalie hili
Mechanical Engineer nipo apa aisee sio poa, nataka nikasome civil tu maana wanaupiga mwingi🤣Ngoja niwatag kabisa Sekretarieti ya Ajira ,toeni Placement zote za fani za Electrical and mechanical engineering za sahili za MDA and LGA zilizofanyika mwezi wa sita 2023 .
Yah ! , Unakuwa unakosa hata nguvu ya kuhudhuria au kujipanga na sahili nyingine au kujua kipi ni kipi aisee .Kweli kabisa. Mimi naamini huwa majina ya watu wanayo ile ile siku oral imefanyika. Mbona majibu kutoka inakuwa inavuuutwa kama nini yaani. Wawe wanayatoa tu mapema watu wawaze vitu vingine. Maana mda mwingi mtu anafikiria PSRS tu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kabisaAfu pia unakuta watatoa placement za shirika fulani, ila wanatoa majina nusu nusu aisee[emoji1430][emoji1430]. Inakuwa ngumu mno kwetu tunaosubiri. Maana gata subira imechoka kuvuta kheri, imeanza kuvuta shisha[emoji25]
Hahaaaa , pole Engineer .Mechanical Engineer nipo apa aisee sio poa, nataka nikasome civil tu maana wanaupiga mwingi[emoji1787]