Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
NdioIna maana humu hakuna watumishi wa vyuoni? Nimeuliza swali langu muda mrefu sijapata jibu. Je chuoni kuna maokoto nje ya salary?
Wameandika pitia vizurii hapo kweny Website yao.naomba kujua usahili wa oral unafanyika wap mana sijaona sehem wameandika
Binafsi naona ni mauzauza tu, Kuna watu unaona wamefaulu pass mark, then wamemwandikia irrelevant, wakati wao ndo wamemshortlist na email ya namba ya mtihani wakamtumia, hiyo haitoshi siku ya mtihani Kuna ukaguzi ulifanyika. Hii maana yake ni Nini sasa na Bora angekuwa mtu mmoja ni wengi mno.Wale wa TRA haki imetendekaaa? Au mauza uza?
Aisee nimeshangaa sana sasa si bora wange wa screen mapema na kuwaambia kuwa hawana vigezo kuliko watu wametupa nauli zao halafu mitihani wamefaulu baada ya kufaulu unawaambia irrelevantBinafsi naona ni mauzauza tu, Kuna watu unaona wamefaulu pass mark, then wamemwandikia irrelevant, wakati wao ndo wamemshortlist na email ya namba ya mtihani wakamtumia, hiyo haitoshi siku ya mtihani Kuna ukaguzi ulifanyika. Hii maana yake ni Nini sasa na Bora angekuwa mtu mmoja ni wengi mno.
Yaani we acha tu, yaani wanachukulia simple tu. Na mpaka mtu ameomba maana yake Kuna possibility kwenye tangazo lao waliiweka hiyo koziAisee nimeshangaa sana sasa si bora wange wa screen mapema na kuwaambia kuwa hawana vigezo kuliko watu wametupa nauli zao halafu mitihani wamefaulu baada ya kufaulu unawaambia irrelevant
MUNGU akusimamie ndugu yangu, maisha ya jobless wengi ni huzuni mno.Mpendwa IT shusha mkeka ndugu yangu nami nione jina langu likiwemo kwenye pdf,huku mtaani ni balaa yan mambo sio mambo...full kuzarauliwa kisa tu ni jobless.
Nakuomba ushushe mkeka nasi jobless tuone majina yote yakiwepo mkuu
Kuna mwamba kawakanda 91% then wanamwandikia irrelevant qualification dah inasikitisha sana hii kitu.Binafsi naona ni mauzauza tu, Kuna watu unaona wamefaulu pass mark, then wamemwandikia irrelevant, wakati wao ndo wamemshortlist na email ya namba ya mtihani wakamtumia, hiyo haitoshi siku ya mtihani Kuna ukaguzi ulifanyika. Hii maana yake ni Nini sasa na Bora angekuwa mtu mmoja ni wengi mno.
duhh aisee...Kuna mwamba kawakanda 91% then wanamwandikia irrelevant qualification dah inasikitisha sana hii kitu.
Nimelamba asali, civil engineer
Kwamba Bachelor in swahili kafaulu mtihani wa TRA sasa si ndio mzuri huyo anajua mambo mengi [emoji1]Mauzauza yanaendelea
Wanakimbiliaga mikopo.Utajenga ukishafukiwa Chini huwezi iba Ila usikamatwe, wenzako wana miaka 24 wamemaliza shule/Chuo baada ya mwaka na miezi 10 wanamiliki nyumba yenye vyumba sita, usijiulize wamewezaje?
Pia Kuna watu maksi ni sawa ila mwingine anachukuliwa na mwingine anaachwa.Kwamba Bachelor in swahili kafaulu mtihani wa TRA sasa si ndio mzuri huyo anajua mambo mengi [emoji1]
Hawa jamaa wamechemka sana!!Pia Kuna watu maksi ni sawa ila mwingine anachukuliwa na mwingine anaachwa.
Waturudishe PSRS tu.