Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Attachments

  • Screenshot_20231021-133146.jpg
    Screenshot_20231021-133146.jpg
    87 KB · Views: 11
Wale wa TRA Mapishi yashaiva
 
Wale wa TRA haki imetendekaaa? Au mauza uza?
Binafsi naona ni mauzauza tu, Kuna watu unaona wamefaulu pass mark, then wamemwandikia irrelevant, wakati wao ndo wamemshortlist na email ya namba ya mtihani wakamtumia, hiyo haitoshi siku ya mtihani Kuna ukaguzi ulifanyika. Hii maana yake ni Nini sasa na Bora angekuwa mtu mmoja ni wengi mno.
 
Aisee nimeshangaa sana sasa si bora wange wa screen mapema na kuwaambia kuwa hawana vigezo kuliko watu wametupa nauli zao halafu mitihani wamefaulu baada ya kufaulu unawaambia irrelevant
 
Yaani we acha tu, yaani wanachukulia simple tu. Na mpaka mtu ameomba maana yake Kuna possibility kwenye tangazo lao waliiweka hiyo kozi
 
Binafsi naona ni mauzauza tu, Kuna watu unaona wamefaulu pass mark, then wamemwandikia irrelevant, wakati wao ndo wamemshortlist na email ya namba ya mtihani wakamtumia, hiyo haitoshi siku ya mtihani Kuna ukaguzi ulifanyika. Hii maana yake ni Nini sasa na Bora angekuwa mtu mmoja ni wengi mno.
Kuna mwamba kawakanda 91% then wanamwandikia irrelevant qualification dah inasikitisha sana hii kitu.
 
Nimelamba asali, civil engineer

Hongera sana mwamba 👏👏

Nakutakia kila la kheri katika Utumishi wa Umma, katimize majukumu yako kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za. kazi.

Jipongeze mkuu kwa kula bata😄😄 ukiwa na jamaa zako wa karibu kuweka kumbukumbu kwa taarifa hii njema.

Pia, kumbuka kutoa Shukrani kwa kutoa msaada kwa makundi yenye uhitaji ktk mazingira yako kama vile watoto yatima, walemavu, wazee n.k

👊👊👊
 
Mauzauza yanaendelea
 
Attachments

  • IMG-20231021-WA0025(1).jpg
    IMG-20231021-WA0025(1).jpg
    104.9 KB · Views: 13
  • IMG-20231021-WA0025.jpg
    IMG-20231021-WA0025.jpg
    104.9 KB · Views: 11
  • IMG-20231021-WA0024.jpg
    IMG-20231021-WA0024.jpg
    102.9 KB · Views: 8
Back
Top Bottom