Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Na nasikia ukiingia halmashauri kuhamia taasis zingine,wizara za serikali kuna kauzibe balaa?
 
Engineer wa halmashauri atafikia hapa baada kufanya kazi miaka 9.
Yeye anaanza na TGS E1 laki 9.9 atafanya kazi miaka 5 atapanda TGS F1 1.2M atafanya tena miaka 4 atapanda TGS G1 1.6M
Naomba kuuliza kwa yeyote anaejua.
Kama umeajiriwa kama engineer (bachelor degree) kwa scale ya PGSS 7.1 ambayo ni Tshs 1,375,000/=
  • Mfano ukiwa na masters, ukaipeleka kwa HR, mshahara utaongezeka sh ngap?
  • Kwa wale wa ERB, ukipewa status ya professional engineer, PEng (T).. mshahara unaongezeka sh ngap pia?
 
Oohh shukrani mkuu hapo kwenye biashara nimekupata, ila kwenye ajira nina swali kidogo mfano hizi za vyombo vya ulinzi na usalama, zinaweza kumuwezesha mtu kusafiri kwa uhuru anapokuwa likizo
inategemeana mkuu kuna intelligence officers wao USA na EUROPE nikama mwenge tu.

kuna kazi mfano wizara mambo ya nje wale Foreign service officers ,utafanya unacho kitaka huko duniani
 
Kuomba Mungu sana ukute kuna huduma muhimu , wife wangu alipelekwa sehemu kupata maji ya kunywa ni mtiti.
 
inategemeana mkuu kuna intelligence officers wao USA na EUROPE nikama mwenge tu.

kuna kazi mfano wizara mambo ya nje wale Foreign service officers ,utafanya unacho kitaka huko duniani
Oohh na vipi kwa hawa ndugu zetu askari wa kawaida kama wanajeshi, usalama, polisi, uhamiaji, magereza, zimamoto, na je hao uliowataja hizo safari zinakuwa za kikazi au matembezi binafsi tu wakiamua
 
Ukifika huko kwenye kata wanakijiji wanakuita Afisa msomi.
Majukukumu yako ni kufuatilia Vikundi na kuwakopesha Vijana, wamama 10%. Mikopo yenyewe hawarudishi
 
Kabla kukujibu naomba nikuulize swali mkuu.
1. Unataka kusafiri kwa kutumia makusanyo ya mshahara wako /biashara utakayoifanya?
AU
2. Au wewe ni wale watoto ambao baba zao walikuwa serikalini enzi ya Nyerere wakaastafu kipindi cha Mkapa wamekuachia apartment za kupangisha Masaki, ghorofa Kariakoo, mashamba Kibaigwa na milioni 600 benki?
By the way hobby yako ya kusafiri ni nzuri sana hata Mimi nilikuwa nayo
 
Ukifika huko kwenye kata wanakijiji wanakuita Afisa msomi.
Majukukumu yako ni kufuatilia Vikundi na kuwakopesha Vijana, wamama 10%. Mikopo yenyewe hawarudishi
chief hvii njia ya kupitisha barua kwa boss wako wa halmashauri unavoenda kupambania ajira utumishi,vipi haina vikwazo na makando kando mengi .
 
Haha siyo mimi mkuu, mimi ni jobless mwandamizi ambaye hata hela ya kula tu ni mtihani, achilia mbali hiyo ya kusafiri

Huyo ambaye amenifanya niulize hilo swali yeye kajiwekea options mbili ziko mbele yake, anataka achague kuajiriwa au kujiajiri hawezi kufanya vyote, na kwenye biashara hawezi kuweka mtu kwanza

Yeye ana connection ya ajira serikalini na ana mtaji wa biashara, so anashindwa achague kipi kitakachofanya apate muda mwingi wa kusafiri kila mwaka, na hiyo hela ya kusafiri itatokana na mapato kwenye either mshahara endapo atachagua ajira au faida endapo atachagua biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…