Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Dah hizi halimashauri nyingine ziko Chaka kinomaa, Yani unpangiwa kazi ukienda kuripoti kama unaenda msumbiji au unaenda kwenye machimbo ya madini aiiisee, tuliyozaliwa mjini na kukulia mjini Kunahitaji uvumilivu wa Hali ya juu sana ,, Kuna halimashauri zimeanzishwa porini nyie usiombe , wewe ni CDO ukifika unapelekwa Tena ndani ndani kwenye kata huko!! 🤣🤣🤣
Na nasikia ukiingia halmashauri kuhamia taasis zingine,wizara za serikali kuna kauzibe balaa?
 
Engineer wa halmashauri atafikia hapa baada kufanya kazi miaka 9.
Yeye anaanza na TGS E1 laki 9.9 atafanya kazi miaka 5 atapanda TGS F1 1.2M atafanya tena miaka 4 atapanda TGS G1 1.6M
Naomba kuuliza kwa yeyote anaejua.
Kama umeajiriwa kama engineer (bachelor degree) kwa scale ya PGSS 7.1 ambayo ni Tshs 1,375,000/=
  • Mfano ukiwa na masters, ukaipeleka kwa HR, mshahara utaongezeka sh ngap?
  • Kwa wale wa ERB, ukipewa status ya professional engineer, PEng (T).. mshahara unaongezeka sh ngap pia?
 
Oohh shukrani mkuu hapo kwenye biashara nimekupata, ila kwenye ajira nina swali kidogo mfano hizi za vyombo vya ulinzi na usalama, zinaweza kumuwezesha mtu kusafiri kwa uhuru anapokuwa likizo
inategemeana mkuu kuna intelligence officers wao USA na EUROPE nikama mwenge tu.

kuna kazi mfano wizara mambo ya nje wale Foreign service officers ,utafanya unacho kitaka huko duniani
 
Dah hizi halimashauri nyingine ziko Chaka kinomaa, Yani unpangiwa kazi ukienda kuripoti kama unaenda msumbiji au unaenda kwenye machimbo ya madini aiiisee, tuliyozaliwa mjini na kukulia mjini Kunahitaji uvumilivu wa Hali ya juu sana ,, Kuna halimashauri zimeanzishwa porini nyie usiombe , wewe ni CDO ukifika unapelekwa Tena ndani ndani kwenye kata huko!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuomba Mungu sana ukute kuna huduma muhimu , wife wangu alipelekwa sehemu kupata maji ya kunywa ni mtiti.
 
inategemeana mkuu kuna intelligence officers wao USA na EUROPE nikama mwenge tu.

kuna kazi mfano wizara mambo ya nje wale Foreign service officers ,utafanya unacho kitaka huko duniani
Oohh na vipi kwa hawa ndugu zetu askari wa kawaida kama wanajeshi, usalama, polisi, uhamiaji, magereza, zimamoto, na je hao uliowataja hizo safari zinakuwa za kikazi au matembezi binafsi tu wakiamua
 
Dah hizi halimashauri nyingine ziko Chaka kinomaa, Yani unpangiwa kazi ukienda kuripoti kama unaenda msumbiji au unaenda kwenye machimbo ya madini aiiisee, tuliyozaliwa mjini na kukulia mjini Kunahitaji uvumilivu wa Hali ya juu sana ,, Kuna halimashauri zimeanzishwa porini nyie usiombe , wewe ni CDO ukifika unapelekwa Tena ndani ndani kwenye kata huko!! 🤣🤣🤣
Ukifika huko kwenye kata wanakijiji wanakuita Afisa msomi.
Majukukumu yako ni kufuatilia Vikundi na kuwakopesha Vijana, wamama 10%. Mikopo yenyewe hawarudishi
 
Kuna kitu nahitaji kuuliza yeyote mwenye wazo au experience kuhusiana na hiki naomba anipe jibu, kati ya kuajiriwa au kujiajiri ni kipi kinamfaa mtu ambaye anapenda kusafiri yani yeye malengo yake ni kutafuta hela ili asafiri na kutalii tu nchi mbalimbali duniani kila mwaka, hana familia wala mtegemezi yeyote yule yani hela yake anayopata ni ya kutumia yeye na kusaidia wenye shida apatapo nafasi

Kwenye kuajiriwa inajulikana kwamba kila mwaka lazima kuna likizo ya mwezi kwa kila mtumishi ila kwenye kujiajiri ndio haijulikani atapata lini muda wa kusafiri, ikiwa biashara yake itahitaji uwepo wake kila siku maana nature ya biashara nyingi za kibongo hadi zije kusimama zenyewe kwa kuweka tu watu bila kuhitaji uwepo wako kila siku, basi itachukua muda mrefu kwahiyo malengo ya kusafiri nje kila mwaka atachelewa sana kuyatimiza

Ndio nimeona nililete kwenu wadau since huu uzi unahusiana na mambo ya ajira, yeyote mwenye maoni au ushauri juu ya mtu wa aina hiyo ni kipi kitamfaa kati ya kazi au biashara, natanguliza shukrani
Kabla kukujibu naomba nikuulize swali mkuu.
1. Unataka kusafiri kwa kutumia makusanyo ya mshahara wako /biashara utakayoifanya?
AU
2. Au wewe ni wale watoto ambao baba zao walikuwa serikalini enzi ya Nyerere wakaastafu kipindi cha Mkapa wamekuachia apartment za kupangisha Masaki, ghorofa Kariakoo, mashamba Kibaigwa na milioni 600 benki?
By the way hobby yako ya kusafiri ni nzuri sana hata Mimi nilikuwa nayo
 
Ukifika huko kwenye kata wanakijiji wanakuita Afisa msomi.
Majukukumu yako ni kufuatilia Vikundi na kuwakopesha Vijana, wamama 10%. Mikopo yenyewe hawarudishi
chief hvii njia ya kupitisha barua kwa boss wako wa halmashauri unavoenda kupambania ajira utumishi,vipi haina vikwazo na makando kando mengi .
 
Kabla kukujibu naomba nikuulize swali mkuu.
1. Unataka kusafiri kwa kutumia makusanyo ya mshahara wako /biashara utakayoifanya?
AU
2. Au wewe ni wale watoto ambao baba zao walikuwa serikalini enzi ya Nyerere wakaastafu kipindi cha Mkapa wamekuachia apartment za kupangisha Masaki, ghorofa Kariakoo, mashamba Kibaigwa na milioni 600 benki?
By the way hobby yako ya kusafiri ni nzuri sana hata Mimi nilikuwa nayo
Haha siyo mimi mkuu, mimi ni jobless mwandamizi ambaye hata hela ya kula tu ni mtihani, achilia mbali hiyo ya kusafiri

Huyo ambaye amenifanya niulize hilo swali yeye kajiwekea options mbili ziko mbele yake, anataka achague kuajiriwa au kujiajiri hawezi kufanya vyote, na kwenye biashara hawezi kuweka mtu kwanza

Yeye ana connection ya ajira serikalini na ana mtaji wa biashara, so anashindwa achague kipi kitakachofanya apate muda mwingi wa kusafiri kila mwaka, na hiyo hela ya kusafiri itatokana na mapato kwenye either mshahara endapo atachagua ajira au faida endapo atachagua biashara
 
Back
Top Bottom