Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Akitaka kusafiria mshahara ziko taasisi chache zenye maokoto ya kumuwezesha kusave hela. Narudia tena chache sana. Kwenye biashara lolote lawezekana maana Trip moja au mbili za lorry la mbao faida yake inatosha nauli ya Vacation China go and return. Tuje kwenye Uhuru wa kusafiri mfanyabiashara yuko huru mwaka mzima na haombi kibali zaidi ya visa. Ila mtumishi lazima uombe kibali kutoka nje ya nchi
 
-umeme huku kwetu uswazi ni 10,000/-, majina 10,000/-
-kodi chukua chumba Cha 50,000/- vipo vingi tu
-Vocha 15,000/-
-sabuni 2000/-, mafuta 5000/-, sawa ya meno 2000/-
-matunda weka 5000

Ukifanya hivyo utakuwa umeokoa 101,000/- ambayo unatakiwa kuipeleka kwenye miradi ya maendeleo.
 
Engineer chumba cha elfu 50 ? Zamu ya kudeki choo hapo inahusika au atalipa watu wamsaidie
 
Engineer chumba cha elfu 50 ? Zamu ya kudeki choo hapo inahusika au atalipa watu wamsaidie
hahaa mkuu atakua anau brand sio?
na vp kwa forest officer halmashauri?

kikubwa tupe scenario nzima jinsi ya ku survive halmashauri katika kutekeleza majukumu yako ya kikazi pamoja na means ya kuepukana na stress za kiuchumi huko halmashauri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…