El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kama sio leo basi kesho kuna mkeka..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa chief ,Ukiambatanisha na tangazo la ajira hakuna shida hawasumbui
Akitaka kusafiria mshahara ziko taasisi chache zenye maokoto ya kumuwezesha kusave hela. Narudia tena chache sana. Kwenye biashara lolote lawezekana maana Trip moja au mbili za lorry la mbao faida yake inatosha nauli ya Vacation China go and return. Tuje kwenye Uhuru wa kusafiri mfanyabiashara yuko huru mwaka mzima na haombi kibali zaidi ya visa. Ila mtumishi lazima uombe kibali kutoka nje ya nchiHaha siyo mimi mkuu, mimi ni jobless mwandamizi ambaye hata hela ya kula tu ni mtihani, achilia mbali hiyo ya kusafiri
Huyo ambaye amenifanya niulize hilo swali yeye kajiwekea options mbili ziko mbele yake, anataka achague kuajiriwa au kujiajiri hawezi kufanya vyote, na kwenye biashara hawezi kuweka mtu kwanza
Yeye ana connection ya ajira serikalini na ana mtaji wa biashara, so anashindwa achague kipi kitakachofanya apate muda mwingi wa kusafiri kila mwaka, na hiyo hela ya kusafiri itatokana na mapato kwenye either mshahara endapo atachagua ajira au faida endapo atachagua biashara
-umeme huku kwetu uswazi ni 10,000/-, majina 10,000/-Vizuri sana sasa hapo piga hesabu ya bachelor
1. Kula 6000*30= 180000
2. Nauli 2000*30= 60000
3. Kodi kwa mwezi = 100000
4. Umeme, maji = 30000
5. Kingamuzi = 20000
6. Sabuni, dawa ya meno, mafuta = 30000
7. Vocha 30000
8. Matunda kwa mwezi 20000
NB.
A. Nguo, viatu, soksi
B. Kupooza koo
C. Kuaidia wazazi
D. Sadaka kanisani
E. Kutuma ya kutolea
Hapo hapo unataka kununua kiwanja ujenge.
Sasa imekwenda wap mkuu😄😄😄By the way hobby yako ya kusafiri ni nzuri sana hata Mimi nilikuwa nayo
Maisha tuSasa imekwenda wap mkuu😄😄😄
Engineer chumba cha elfu 50 ? Zamu ya kudeki choo hapo inahusika au atalipa watu wamsaidie-umeme huku kwetu uswazi ni 10,000/-, majina 10,000/-
-kodi chukua chumba Cha 50,000/- vipo vingi tu
-Vocha 15,000/-
-sabuni 2000/-, mafuta 5000/-, sawa ya meno 2000/-
-matunda weka 5000
Ukifanya hivyo utakuwa umeokoa 101,000/- ambayo unatakiwa kuipeleka kwenye miradi ya maendeleo.
- itabidi alipeEngineer chumba cha elfu 50 ? Zamu ya kudeki choo hapo inahusika au atalipa watu wamsaidie
hahaa mkuu atakua anau brand sio?Engineer chumba cha elfu 50 ? Zamu ya kudeki choo hapo inahusika au atalipa watu wamsaidie
Zile za mkataba ama?Wa Tanroads
ashalala uyo..Kuna mkeka unashuka sio muda
Suburi uone mkeka wa usiku web haifungukiashalala uyo..
Ukiona page yeyote ya serikali nzito inafanyiwa mafekechee sio muda kitu kinaachiwaashalala uyo..
mie mbona inafunguka
Maisha niliyopitia mimi sitahitaji mwanangu au wajukuu wayapitieila hawa jamaa wamejua kutunyoosha.yaan mtu siku nzima uko ajira portal ntakuja kusimulia wajukuu hii [emoji1787]