Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Haha siyo mimi mkuu, mimi ni jobless mwandamizi ambaye hata hela ya kula tu ni mtihani, achilia mbali hiyo ya kusafiri

Huyo ambaye amenifanya niulize hilo swali yeye kajiwekea options mbili ziko mbele yake, anataka achague kuajiriwa au kujiajiri hawezi kufanya vyote, na kwenye biashara hawezi kuweka mtu kwanza

Yeye ana connection ya ajira serikalini na ana mtaji wa biashara, so anashindwa achague kipi kitakachofanya apate muda mwingi wa kusafiri kila mwaka, na hiyo hela ya kusafiri itatokana na mapato kwenye either mshahara endapo atachagua ajira au faida endapo atachagua biashara
Akitaka kusafiria mshahara ziko taasisi chache zenye maokoto ya kumuwezesha kusave hela. Narudia tena chache sana. Kwenye biashara lolote lawezekana maana Trip moja au mbili za lorry la mbao faida yake inatosha nauli ya Vacation China go and return. Tuje kwenye Uhuru wa kusafiri mfanyabiashara yuko huru mwaka mzima na haombi kibali zaidi ya visa. Ila mtumishi lazima uombe kibali kutoka nje ya nchi
 
Vizuri sana sasa hapo piga hesabu ya bachelor
1. Kula 6000*30= 180000
2. Nauli 2000*30= 60000
3. Kodi kwa mwezi = 100000
4. Umeme, maji = 30000
5. Kingamuzi = 20000
6. Sabuni, dawa ya meno, mafuta = 30000
7. Vocha 30000
8. Matunda kwa mwezi 20000
NB.
A. Nguo, viatu, soksi
B. Kupooza koo
C. Kuaidia wazazi
D. Sadaka kanisani
E. Kutuma ya kutolea
Hapo hapo unataka kununua kiwanja ujenge.
-umeme huku kwetu uswazi ni 10,000/-, majina 10,000/-
-kodi chukua chumba Cha 50,000/- vipo vingi tu
-Vocha 15,000/-
-sabuni 2000/-, mafuta 5000/-, sawa ya meno 2000/-
-matunda weka 5000

Ukifanya hivyo utakuwa umeokoa 101,000/- ambayo unatakiwa kuipeleka kwenye miradi ya maendeleo.
 
Engineer chumba cha elfu 50 ? Zamu ya kudeki choo hapo inahusika au atalipa watu wamsaidie
 
Engineer chumba cha elfu 50 ? Zamu ya kudeki choo hapo inahusika au atalipa watu wamsaidie
hahaa mkuu atakua anau brand sio?
na vp kwa forest officer halmashauri?

kikubwa tupe scenario nzima jinsi ya ku survive halmashauri katika kutekeleza majukumu yako ya kikazi pamoja na means ya kuepukana na stress za kiuchumi huko halmashauri?
 
Angalia
Screenshot_20231022-213518~2.jpg
 
Back
Top Bottom