Oohh shukrani mkuu hapo kwenye biashara nimekupata, ila kwenye ajira nina swali kidogo mfano hizi za vyombo vya ulinzi na usalama, zinaweza kumuwezesha mtu kusafiri kwa uhuru anapokuwa likizo
Okay shukrani mkuuAkitaka kusafiria mshahara ziko taasisi chache zenye maokoto ya kumuwezesha kusave hela. Narudia tena chache sana. Kwenye biashara lolote lawezekana maana Trip moja au mbili za lorry la mbao faida yake inatosha nauli ya Vacation China go and return. Tuje kwenye Uhuru wa kusafiri mfanyabiashara yuko huru mwaka mzima na haombi kibali zaidi ya visa. Ila mtumishi lazima uombe kibali kutoka nje ya nchi
Shukrani sana kwa ufafanuzi mkuuKaribu sana mkuu. Inategemea ni chombo kipi cha ulinzi na usalama na umeajiriwa kwa kutekeleza jukumu gani!
Lakini kiujumla vyombo vya ulinzi na usalama mambo mengi yanakwenda kwa kwa vibali na maelekezo kutoka juu, bila kujali ni likizo au siku za kazi.
Shukrani sana kwa ufafanuzi mkuu
-umeme huku kwetu uswazi ni 10,000/-, majina 10,000/-
-kodi chukua chumba Cha 50,000/- vipo vingi tu
-Vocha 15,000/-
-sabuni 2000/-, mafuta 5000/-, sawa ya meno 2000/-
-matunda weka 5000
Ukifanya hivyo utakuwa umeokoa 101,000/- ambayo unatakiwa kuipeleka kwenye miradi ya maendeleo.
Engineer chumba cha elfu 50 ? Zamu ya kudeki choo hapo inahusika au atalipa watu wamsaidie
Naona kama wamezira wanatuchoraIT nyanyua mashabiki ndio mida hii...
Akisaini kesho majina leoamna iatakua ndio katibu anasaini sasa hivi..
amna akishasaini tu wanatoa.cha msingi tuendelee tu kuingia ajiraportal kila saa kama wehu.. 🤣Akisaini kesho majina leo
😂😂😂yaani unakuwa unachungulia kila saa utadhani kuna kitu umepoteza. Sikuizi mtu ukijiunga bando ni spesho for kuchunguliaamna akishasaini tu wanatoa.cha msingi tuendelee tu kuingia ajiraportal kila saa kama wehu.. 🤣
MUNGU awatimizie hitaji lenu😂😂😂yaani unakuwa unachungulia kila saa utadhani kuna kitu umepoteza. Sikuizi mtu ukijiunga bando ni spesho for kuchungulia
yaani acha tu. Mungu atusaidie yaani siku nikipata kazi nafuta na app kabisa🤣 🤣😂😂😂yaani unakuwa unachungulia kila saa utadhani kuna kitu umepoteza. Sikuizi mtu ukijiunga bando ni spesho for kuchungulia
Mkeka sahau mzee..haujiiko kimulimuli cha tarehe 16 kina roho ngumu
Ujue IT wamo humu, haya maneno hayasaisdie.Mkeka sahau mzee..hauji
[emoji1][emoji1][emoji1]iko kimulimuli cha tarehe 16 kina roho ngumu