HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,376
Oohh shukrani mkuu hapo kwenye biashara nimekupata, ila kwenye ajira nina swali kidogo mfano hizi za vyombo vya ulinzi na usalama, zinaweza kumuwezesha mtu kusafiri kwa uhuru anapokuwa likizo
Karibu sana mkuu. Inategemea ni chombo kipi cha ulinzi na usalama na umeajiriwa kwa kutekeleza jukumu gani!
Lakini kiujumla vyombo vya ulinzi na usalama mambo mengi yanakwenda kwa kwa vibali na maelekezo kutoka juu, bila kujali ni likizo au siku za kazi.