Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Oohh shukrani mkuu hapo kwenye biashara nimekupata, ila kwenye ajira nina swali kidogo mfano hizi za vyombo vya ulinzi na usalama, zinaweza kumuwezesha mtu kusafiri kwa uhuru anapokuwa likizo

Karibu sana mkuu. Inategemea ni chombo kipi cha ulinzi na usalama na umeajiriwa kwa kutekeleza jukumu gani!

Lakini kiujumla vyombo vya ulinzi na usalama mambo mengi yanakwenda kwa kwa vibali na maelekezo kutoka juu, bila kujali ni likizo au siku za kazi.
 
Akitaka kusafiria mshahara ziko taasisi chache zenye maokoto ya kumuwezesha kusave hela. Narudia tena chache sana. Kwenye biashara lolote lawezekana maana Trip moja au mbili za lorry la mbao faida yake inatosha nauli ya Vacation China go and return. Tuje kwenye Uhuru wa kusafiri mfanyabiashara yuko huru mwaka mzima na haombi kibali zaidi ya visa. Ila mtumishi lazima uombe kibali kutoka nje ya nchi
Okay shukrani mkuu
 
Karibu sana mkuu. Inategemea ni chombo kipi cha ulinzi na usalama na umeajiriwa kwa kutekeleza jukumu gani!

Lakini kiujumla vyombo vya ulinzi na usalama mambo mengi yanakwenda kwa kwa vibali na maelekezo kutoka juu, bila kujali ni likizo au siku za kazi.
Shukrani sana kwa ufafanuzi mkuu
 
-umeme huku kwetu uswazi ni 10,000/-, majina 10,000/-
-kodi chukua chumba Cha 50,000/- vipo vingi tu
-Vocha 15,000/-
-sabuni 2000/-, mafuta 5000/-, sawa ya meno 2000/-
-matunda weka 5000

Ukifanya hivyo utakuwa umeokoa 101,000/- ambayo unatakiwa kuipeleka kwenye miradi ya maendeleo.

Upo sahihi kwa kitaa lakini pia lazima uchungulie vifursa vidogo vidogo kulingana na eneo walau uweze kupata 10k per day.
 
Back
Top Bottom