Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Mm kiukwelj taasisi niliyofanyia interview nimeifuatilia nimeiona kila baada ya miezi mitatu ndo wanaita watu kazini.Hii ni pure psychological torture wazee. Kusubiri matokeo ambayo ni 50/50, tunajipa moyo miezi yote hio kuwa pdf inayotoka inaweza kuwa inatuhusu. Chances za pdf kutoka siku hio nazo hazijulikani. Aiii inachosha kila muda kuchungulia kitu hujui kama kitakuwepo au lah. Na hapo pdf inaweza toka nako ni bila bila[emoji1430][emoji1430].
Uvumilivu unaelekea kunishinda. I am on the edge of giving up kabisa. And this thread ni moja vitu vinavyonipaga moyo.
Ni kwa moto mnoo aisee[emoji1430]
Wanajua utatoa tuWalinzi wa pale getini wamepata fursa ya kujipatia kipato kwa wale ambao wanakuja kuchukua barua na hawajavaa mavazi ya kiutumishi
Ukija umekula jeans/sandals/t shirt wanakwambia hauruhusiwi kuingia hivo inabidi urudi kubadirisha nguo au wakukodishe nguo zao
Kwahiyo ni wewe sasa kurudi au kuwapa hela ambayo mtaelewana ili wakupe viwalo ukamalize mchakato au wakubanie kuingia
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kupata asali,Walinzi wa pale getini wamepata fursa ya kujipatia kipato kwa wale ambao wanakuja kuchukua barua na hawajavaa mavazi ya kiutumishi
Ukija umekula jeans/sandals/t shirt wanakwambia hauruhusiwi kuingia hivo inabidi urudi kubadirisha nguo au wakukodishe nguo zao
Kwahiyo ni wewe sasa kurudi au kuwapa hela ambayo mtaelewana ili wakupe viwalo ukamalize mchakato au wakubanie kuingia
Ni njema Boss tunaendelea tulipoishiaMmeamka watumishi wa umma watarajiwa
Kwenye ratiba wameandikaje?Habari wakuu
Naomba kuuliza, hivi kwa kawaida huwa kuna usaili wa vitendo(practical) kwa kada ya technician II (civil) kwa mwajiri MDA's&LGA's, au huwa ni wa kuandika na mahojiano tu?
Nimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga'sKwenye ratiba wameandikaje?
Nimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's
Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma
Ushauri wenu wakuu
Wanahitaji watu wangapiNimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's
Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma
Ushauri wenu wakuu
Mimi pia mkuu nimekuwa Shortlisted kwenye kada hii ya technician II (Civil) lakinii naomba kwa anaejua Practical huaga wanafanya practical ipii??Habari wakuu
Naomba kuuliza, hivi kwa kawaida huwa kuna usaili wa vitendo(practical) kwa kada ya technician II (civil) kwa mwajiri MDA's&LGA's, au huwa ni wa kuandika na mahojiano tu?
Kwa mim kama nafanya zile za oral zoteNimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's
Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma
Ushauri wenu wakuu
naomba unisaidie tangazo la hiyo ratba ya tra iliyobadilika mkuuNimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's