Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hii ni pure psychological torture wazee. Kusubiri matokeo ambayo ni 50/50, tunajipa moyo miezi yote hio kuwa pdf inayotoka inaweza kuwa inatuhusu. Chances za pdf kutoka siku hio nazo hazijulikani. Aiii inachosha kila muda kuchungulia kitu hujui kama kitakuwepo au lah. Na hapo pdf inaweza toka nako ni bila bila[emoji1430][emoji1430].

Uvumilivu unaelekea kunishinda. I am on the edge of giving up kabisa. And this thread ni moja vitu vinavyonipaga moyo.
Ni kwa moto mnoo aisee[emoji1430]
Mm kiukwelj taasisi niliyofanyia interview nimeifuatilia nimeiona kila baada ya miezi mitatu ndo wanaita watu kazini.

Nimefanya oral ndo nawait hapa.
 
Walinzi wa pale getini wamepata fursa ya kujipatia kipato kwa wale ambao wanakuja kuchukua barua na hawajavaa mavazi ya kiutumishi

Ukija umekula jeans/sandals/t shirt wanakwambia hauruhusiwi kuingia hivo inabidi urudi kubadirisha nguo au wakukodishe nguo zao

Kwahiyo ni wewe sasa kurudi au kuwapa hela ambayo mtaelewana ili wakupe viwalo ukamalize mchakato au wakubanie kuingia
Wanajua utatoa tu
 
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kupata asali,

Pili, siku naenda kuchukua barua niliambiwa haya haya, ila kwa bahati nzuri nilikuwa nimebeba nguo nyingine maana nilikuwa naunganisha safari ya kwenda kuripoti kabisa kituo cha kazi.

Hivyo nikasogea pembeni kidogo. Nikapiga mchomeko wangu, nikachkua barua. Nikapanda basi, safari kanda ya ziwa.
 
.
Screenshot_20231024-193900~2.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20231024-193913~2.jpg
    Screenshot_20231024-193913~2.jpg
    67.1 KB · Views: 8
Habari wakuu
Naomba kuuliza, hivi kwa kawaida huwa kuna usaili wa vitendo(practical) kwa kada ya technician II (civil) kwa mwajiri MDA's&LGA's, au huwa ni wa kuandika na mahojiano tu?
 
Kwenye ratiba wameandikaje?
Nimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's

Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma

Ushauri wenu wakuu
 
Saili hapa naona ni 1 tu mkuu Dom pekee.
 
Wanahitaji watu wangapi
 
Habari wakuu
Naomba kuuliza, hivi kwa kawaida huwa kuna usaili wa vitendo(practical) kwa kada ya technician II (civil) kwa mwajiri MDA's&LGA's, au huwa ni wa kuandika na mahojiano tu?
Mimi pia mkuu nimekuwa Shortlisted kwenye kada hii ya technician II (Civil) lakinii naomba kwa anaejua Practical huaga wanafanya practical ipii??
 
Nimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's

Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma

Ushauri wenu wakuu
Kwa mim kama nafanya zile za oral zote

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Nimejichanganya kwa kweli, kwenye ratiba wameandika zote tatu, usaili wa kuandika, vitendo na mahojiano. Nipo njia panda, baada ya TRA kubadili ratiba ya usaili wa mahojiano kuwa tarehe 08/11, na hapo jana nimekuwa shortlisted utumishi mda's & lga's

Saili nilizonazo
Tarehe 05/11 -MDA's & LGA's - Written interview -Dodoma
**Tarehe 08/11 -TRA Oral interview- Dar es salaam
**Tarehe 08/11 - MDA's & LGA's - Practical interview -Dodoma
Tarehe 09/11 - MDA's & LGA's - Oral interview -Dodoma

Ushauri wenu wakuu
naomba unisaidie tangazo la hiyo ratba ya tra iliyobadilika mkuu
 
Back
Top Bottom