Utawala2025
JF-Expert Member
- Oct 20, 2023
- 1,144
- 2,755
Mm kiukwelj taasisi niliyofanyia interview nimeifuatilia nimeiona kila baada ya miezi mitatu ndo wanaita watu kazini.Hii ni pure psychological torture wazee. Kusubiri matokeo ambayo ni 50/50, tunajipa moyo miezi yote hio kuwa pdf inayotoka inaweza kuwa inatuhusu. Chances za pdf kutoka siku hio nazo hazijulikani. Aiii inachosha kila muda kuchungulia kitu hujui kama kitakuwepo au lah. Na hapo pdf inaweza toka nako ni bila bila[emoji1430][emoji1430].
Uvumilivu unaelekea kunishinda. I am on the edge of giving up kabisa. And this thread ni moja vitu vinavyonipaga moyo.
Ni kwa moto mnoo aisee[emoji1430]
Nimefanya oral ndo nawait hapa.