Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Ulitisha sana mkuu, kupata taarifa ya eneo unaloenda kabla hujafika waga ni Jambo zuri Sana

Mfano mimi, nimeenda kuripoti fresh ila wakati wa kuandika barua ya kuomba pesa ya kujikimu napeleka masjala naambiwa niambatanishe na tickets ili nayo ilipwe

alafu me tickets zote nimetupa kama kawaida yangu, kwahiyo nikaishia kujilaumu Tu kuwa nimepoteza hela nyingi kisa kutokujua coz hadi kufika eneo la tukio nauli nimetumia 80k
 
Don't discourage me bro. Umepiga oral 4, what do u want to tell us about psrs? Ko Usipopata tatizo ni psrs sio wew?
"Stay positive"
though you were not my main target.
Nilitaka kuwa encourage pia ambao hawajawahi fika oral, nilikua kundi ilo juzi tu ko najua how it feels.
 
Wapigie uwaeleze wataku add kwenye majina ya nyongeza, nadhani wamechanganya wenyewe tu
 
Upo kada gani
 

Uko sahihi Mkuu. Interview nyingi nilikuwa naishia written tu, nikafanya MDA&LGA nikafika oral na nikapata kazi. Yaani oral ya kwanza ndio iliyonipa kazi, Tena Taasisi nzuri tu
 
Tangazo la TRA lingekuwa limepitia utumishi ningemshauri akapige TRA lakini kwakuwa halipitii uko ni wazi namshauri akapige tu LGA
 
Uhuni tu wengine tumfk mara 4 n hamna cha placment wl nn
Mara nne written au oral.

Kada gani.

Kuna kada mfano kuajili kwa mwaka hata watu 10 hawafiki unadhani hata ukifika database itasaidia.

Mimi watu wangu wanne walifanya oral mwaka jana leo hii wote wako kazini.

Kada yao kila mwaka lazima taasisi zaidi ya 5 ziajiri tena Mara Mbili mbili.

Kwa hapo ni ngumu kukosa Ajira.

So inategemeana na kada yako pia na uliingia oral mwaka gani ukute mwaka 2015 huko
 
Kwa Ushauri wa Bure.

Zingatia Sana tarehe. Kama Written ni Nov 5 na ipo Dodoma plus Practical ni Nov 8 na ipo Dodoma Pia even Oral Interview ni Nov 9 ipo Dodoma . Ushauri wng nenda Dodoma kabla ya trh 4 then fanya interview zote zilizopo Dodoma.

Hiyo ya TRA tena Unaweza kuta Idadi inayoitajika ni ndogo piga Chini.

Au Alternative Piga Written Nov 5 nenda Dar piga Oral Interview Nov 8 rudi Dodoma Kapige Oral ya Nov 9 (Japo hii kwako ni risk sn maana ss hv usafiri wa Usiku una wateja wengi Unaweza kukuchelewesha Kwa kutumia Gar za kuunga ungaa) decision ni yako lkn lzm ukubal kusacrifice interview 1 ya trh 8 Nov
 
Haujaelewa Ana ww atapigaje oral Dodoma wakati anatakiwa afanye oral tar 8 ambayo ndo itakuwa siku ya oral TRA na siku hiyo hiyo anatakiwa afanye practical Dodoma kama atakuwa amefaulu written
 
Haujaelewa Ana ww atapigaje oral Dodoma wakati anatakiwa afanye oral tar 8 ambayo ndo itakuwa siku ya oral TRA na siku hiyo hiyo anatakiwa afanye practical Dodoma kama atakuwa amefaulu written
Huyu hata mimi namshauri kheri akapige..ya MDA achane na TRA.....kwenye MDA s kuna advantage ya Database
 
Hujamuelewa wew soma vizurii alichoandika ndio u comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…