Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,680
- 4,204
Ulitisha sana mkuu, kupata taarifa ya eneo unaloenda kabla hujafika waga ni Jambo zuri SanaKwanza nimshukuru Mungu kwa kupata asali,
Pili, siku naenda kuchukua barua niliambiwa haya haya, ila kwa bahati nzuri nilikuwa nimebeba nguo nyingine maana nilikuwa naunganisha safari ya kwenda kuripoti kabisa kituo cha kazi.
Hivyo nikasogea pembeni kidogo. Nikapiga mchomeko wangu, nikachkua barua. Nikapanda basi, safari kanda ya ziwa.
Mfano mimi, nimeenda kuripoti fresh ila wakati wa kuandika barua ya kuomba pesa ya kujikimu napeleka masjala naambiwa niambatanishe na tickets ili nayo ilipwe
alafu me tickets zote nimetupa kama kawaida yangu, kwahiyo nikaishia kujilaumu Tu kuwa nimepoteza hela nyingi kisa kutokujua coz hadi kufika eneo la tukio nauli nimetumia 80k