Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Hahahahaha! Mkuu nimekukubali sana. Unatumia hoja kukubali au kukataa kitu, na sio kufuata wengi wanasema nini.
Mimi Mara nyingi nikiomba kazi siombi ilmaradi naomba idadj pia naizingatia sasa just imagine TRA WANAHITAJI WATU 6 NA WAKO 24.

INA MAANA Nafasi Ratio ni 1:4 so kama Hataenda kimasihala yaani Aende na Mungu,confidence na ushawishi anaiweza kutoboa .

Tukisema sehemu Fulani Ina connection haimaanishi asilimia zote wanaingiza watu kwa kujuana
 

Sawa komredi nimekupata uzuri.
 
Hongereni mliolamba Asali.. Niliingia Oral ya CPB mwezi wa pili kazi za mikataba sijalamba asali ila inatia Moyo naona wadau jana kutoka database wameitwa kaz

Hongereni mliolamba Asali.. Niliingia Oral ya CPB mwezi wa pili kazi za mikataba sijalamba asali ila inatia Moyo naona wadau jana kutoka database wameitwa kazini.
One day yes....!
 
Asante Serikali ya Mama Samia kwa kujali vijana,Ajira zinaendelea kumwagwa.Hakika Dkt Samia aliposema yupo kwa ajili ya Watanzania anamaanisha kwa Vitendo.
Mungu azidi kumbariki Rais wetu huyu.
Vijana mkiingia kwenye Utumishi hakuna maendeleo ya haraka,tufanye kazi kwa moyo na kujituma na Mungu atatubariki sana.Kila jambo lina wakati wake.Tutoe Huduma Bora siku zote bila kuchoka.
 
Wameshawahi ndio
Kitambo mno tangia waajiri kupitia psrs ,ni as if hamna watu wanaostaafu au kufariki humo kwenye hilo shirika , kuna njemba zimekaba nafasi huko kama temporary employees .
Huu mfumo wa kipumbavu , nafasi ya permanent employee anaajiriwa mtu as temporary employee ,tunataka mfumo wa uwazi katika ajira . TANESCO watangaze kazi kupitia Sekretarieti ya Ajira
 
Inaumiza sana ,ila ndio hivyo mtafutaji hachoki,never giver up,siku sahihi ikifika unapata hitaji la moyo wako.
Hakuna kukata tamaa katika hali yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…