El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna mda mpaka mtu unajiuliza hizi ni interview za kwenda mbinguni au.?
isije kua watu ndo wanapelekwa mbinguni kimyakimya na utumishi.. 🤣 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kukosa inauma kiongozi Ila usikate tamaa siku yako njema yaja,keep tryingHao MDAs mwezi wa sita tulifanya interview watu wa electrical walitaka watu 30 na bado hawajafika mpaka sasa na jumamosi tena wanaenda kufanya elecrical MDAs majina mengi ni yaleyale tu.sasa siwangechukua tu baadhi waliofaulu ile ya mwez wa sita kuliko kuanza kusumbua tena watu kusafiri.
mmmhhh sawa ngoja tususbiriKukosa inauma kiongozi Ila usikate tamaa siku yako njema yaja,keep trying
ngoja tuvumilie...PSRS is for hustlers. Wew kama sio hustler utaishia kuwaona PSRS ni wabaya tu.
Sifa kubwa ya hustler ni uvumilivu.
Tuwe na subira wakuu at the same time you have to lower your expetation na natafuta chochote cha kukufanya uwe busy. Sio lazima iwe kazi
usifuate upepo wa "dad talk to your brother Gang", wamo humu
Dah! Atari kwamba daaaaadngoja tuvumilie...
Sawa mkuu.Nafasi za kazi zinakuwa zimeshaandaliwa watu wake kama nilivyoelezea hapo awali.....ule usaili is just a formality mkuu, there's nothing more to it.
.......Ukiona hivyo ujue wengine mlikandwa bro......Jipange upya.Hao MDAs mwezi wa sita tulifanya interview watu wa electrical walitaka watu 30 na bado hawajafika mpaka sasa na jumamosi tena wanaenda kufanya elecrical MDAs majina mengi ni yaleyale tu.sasa siwangechukua tu baadhi waliofaulu ile ya mwez wa sita kuliko kuanza kusumbua tena watu kusafiri.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] wanashangaza saba hawa jamaa , si kwa kungoja huku ,isije kua watu ndo wanapelekwa mbinguni kimyakimya na utumishi.. [emoji1787] [emoji1787]
Ni ukosefu wa ufanisi ,kuna kitu hakiko sawa ,haitakiwi Placement kuchelewa hivi ,sema ni vile tu tushaona kawaida tangia mwanzoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mmhhh kwa hiyo tumekandwa sio..?.......Ukiona hivyo ujue wengine mlikandwa bro......Jipange upya.
inasemekana tumekandwa doni eti inawezekana kweli.Ni ukosefu wa ufanisi ,kuna kitu hakiko sawa ,haitakiwi Placement kuchelewa hivi ,sema ni vile tu tushaona kawaida tangia mwanzoni
IT wameshindwa kaziIT kuna ugali na chumvi..
Ni shiiiiidahhh.,,Haiwezekani washindwe kutoa replacement mpaka leo