Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Take it from me nina uhakika 100% vyuo vingine ni PGSS 6 = 1.2M ila kwa Muhimbili ni kubwa zaidi ya hapo.
Jamaa atakuwa anachanganya kati ya warden na Janitor, wajukumu yao kama yana fanana hivi ,ila elimu ya chini ya kuwa Warden ni degreee (salary ni PGSS 6 sawa na 1.2M) na wakati Janitor elimu ya chini ni diploma na uanza na salary ya hiyo laki 8. Mfano SUA wanawatumia sana ma Janitor, ma warden ni wachache
 
janitor ni nani na waeden ni nani kwa tusiojua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…