Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria zipo kwa ajili ya watu masikini na wasio na connection tu ila matajiri haziwahusuNgoja nikushirikishe machache tu ambayo yanaendelea huku maofisini ujue jinsi Dunia ilivyokuwa haina USAWA....
Mimi binafsi ni mwaka wa 3 huu natafuta uhamisho (nishafanya Kazi miaka 10, kwahiyo Nina sifa zotee za kupata uhamisho) ila sasa...
Nikiwa na hustle na kutafuta uhamisho
1. Kuna watu wanapata Kazi (ajira mpya) wanakuja kureport, anarudi home kusubiri cheki namba.
Ile anaipata, hata hajaanza Kazi, anakuja na barua ya uhamisho kahamishiwa Taasisi fulani. Kwa halmashauri anatemana nayo kihivyo
UNADHANI HUYU HATA AJIRA ALIIPA NJIA KAMA YAKO?
2. Mmepata ajira mpya, wewe unawaza umfundishe Kazi ili umuachie ofisi uhame.
Na uhamisho hutoka baada ya mwaka wa ajira (ukishathibitishwa).
Ndani chini ya mwaka mtu anakuja na barua ya uhamisho na anasepa anakuacha wewe wa miaka hapohapo.
3. Siku umekaa unahili wala lile, unashangaa DED kamind. Kisa kapokea simu kutoka juuu huko "mtumishi fulani anatakiwa ahame haraka"
Braza hii Dunia japo Kuna Mungu, ila Kuna watu Wana WATU, sio watu ni WATU.
Mungu akujalie upate ajira, ipo siku UTANIELEWA.
Karibu kwenye Utumishi wa Umma.
#YNWA
Brother na mm ni muhanga wa hili jambo la uhamishoNgoja nikushirikishe machache tu ambayo yanaendelea huku maofisini ujue jinsi Dunia ilivyokuwa haina USAWA....
Mimi binafsi ni mwaka wa 3 huu natafuta uhamisho (nishafanya Kazi miaka 10, kwahiyo Nina sifa zotee za kupata uhamisho) ila sasa...
Nikiwa na hustle na kutafuta uhamisho
1. Kuna watu wanapata Kazi (ajira mpya) wanakuja kureport, anarudi home kusubiri cheki namba.
Ile anaipata, hata hajaanza Kazi, anakuja na barua ya uhamisho kahamishiwa Taasisi fulani. Kwa halmashauri anatemana nayo kihivyo
UNADHANI HUYU HATA AJIRA ALIIPA NJIA KAMA YAKO?
2. Mmepata ajira mpya, wewe unawaza umfundishe Kazi ili umuachie ofisi uhame.
Na uhamisho hutoka baada ya mwaka wa ajira (ukishathibitishwa).
Ndani chini ya mwaka mtu anakuja na barua ya uhamisho na anasepa anakuacha wewe wa miaka hapohapo.
3. Siku umekaa unahili wala lile, unashangaa DED kamind. Kisa kapokea simu kutoka juuu huko "mtumishi fulani anatakiwa ahame haraka"
Braza hii Dunia japo Kuna Mungu, ila Kuna watu Wana WATU, sio watu ni WATU.
Mungu akujalie upate ajira, ipo siku UTANIELEWA.
Karibu kwenye Utumishi wa Umma.
#YNWA
mchengerwa ni jembe..👍👍👍👍👍👍👍👍Jamani Ambao hamjalipwa huko!
Kumbe Waziri anapitia pitia hapa Jukwaani..View attachment 2812916
Sheria zipo kwa ajili ya watu masikini na wasio na connection tu ila matajiri haziwahusu
Yaah jamaa ana simama katika nafasi yake sanamchengerwa ni jembe..👍👍👍👍👍👍👍👍
Tuendelee KUPAMBANABrother na mm ni muhanga wa hili jambo la uhamisho
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
chief umeamua uwakimbie tamisenga !Mungu ni mwema kila wakati.
Changamoto ni kwamba, wenye ajira wanaomba ajira na wasionazo pia wanaomba.
#YNWA
Nilishajisajili tokea 2021 sema sikua serious ila juzi ndio NIMETUMA OMBI LA KWANZA tokea nijisajili 2021.chief umeamua uwakimbie tamisenga !
karibu kwenye mapambano huku PSRS
unaonekana umejipanga,kikubwa kula msuli wakutosha.Nilishajisajili tokea 2021 sema sikua serious ila juzi ndio NIMETUMA OMBI LA KWANZA tokea nijisajili 2021.
Hata vyeti nilikuweka(ga) ambavyo sija certify, ila Juzi hapa nimeamua kuwa serious na kila KIGEZO.
#YNWA
unaonekana umejipanga,kikubwa kula msuli wakutosha.
na vp ukipiga usahili wa MDAS&LGAS halafu wakakupeleka tena halmashauri itakuaje!?
coz utumishi wanakupeleka popote
Inabidi na mimi niamke na tupeane mbinu ya kukimbia TAMISEMI maana na mm nmepachoka hukuNafata NJIA ZA MA-ROLE MODEL WANGU....[emoji41][emoji41][emoji41]
Kuna jamaa nawajuwa wamelamba Tena asali ... (Ndani ya mwaka huu)
1. Kuna muhasibu mmoja Iringa manispaa kalamba asali ya EWURA,
2. Kuna IT Dom kalamba asali ya Wizara ya mambo ya ndani,
3. Na wengine kama wa 4 wanawajua wahasibu (halmashauri tofauti tofauti) wamelamba asali za TRA (ile TRA ya mwanzo iliyopitia Ajira portal).
4. Na kikubwa zaidi huu mkeka uliomtoa Zai wa JF humu, Kuna raia wangu nae kalamba asali ya Taasisi tenaaa.
Hawa ndio wameni "motivate" kumbe inawezekana UKIKAZA unasepa TAMISEMI.
Huyo wa 4 ndio kanishtua balaaa "I should be serious"
Akili yangu inawaza kukimbia TAMISEMI tuuuu.
Kwahiyo hata wakiniweka kwenye Data base basi wanitupie BOT au HAZINA..!!!
#YNWA
utapata chief endelea kula madesaNafata NJIA ZA MA-ROLE MODEL WANGU....😎😎😎
Kuna jamaa nawajuwa wamelamba Tena asali ... (Ndani ya mwaka huu)
1. Kuna muhasibu mmoja Iringa manispaa kalamba asali ya EWURA,
2. Kuna IT Dom kalamba asali ya Wizara ya mambo ya ndani,
3. Na wengine kama wa 4 wanawajua wahasibu (halmashauri tofauti tofauti) wamelamba asali za TRA (ile TRA ya mwanzo iliyopitia Ajira portal).
4. Na kikubwa zaidi huu mkeka uliomtoa Zai wa JF humu, Kuna raia wangu nae kalamba asali ya Taasisi tenaaa.
Hawa ndio wameni "motivate" kumbe inawezekana UKIKAZA unasepa TAMISEMI.
Huyo wa 4 ndio kanishtua balaaa "I should be serious"
Akili yangu inawaza kukimbia TAMISEMI tuuuu.
Kwahiyo hata wakiniweka kwenye Data base basi wanitupie BOT au HAZINA..!!!
#YNWA
mnatutisha aiseehInabidi na mimi niamke na tupeane mbinu ya kukimbia TAMISEMI maana na mm nmepachoka huku
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Jibu = KUTOROKA TUUutapata chief endelea kula madesa
boss wako unavo muomba ruhusa kwenda kupiga pepa ,vp hawezi kukuwekea kinyongo.
1. Ajira portal (Ajira mpya)Inabidi na mimi niamke na tupeane mbinu ya kukimbia TAMISEMI maana na mm nmepachoka huku
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
utaratibu huu, system haiwezi ku detect kuwa ni mtumishi?coz psrs wanataka barua ya maombi ya kazi ipitie kwa mwajiri wako!Jibu = KUTOROKA TUU
#YNWA
Barua ukimsaundisha anapitisha..!!utaratibu huu, system haiwezi ku detect kuwa ni mtumishi?coz psrs wanataka barua ya maombi ya kazi ipitie kwa mwajiri wako!
pia boss anaweza asiruhusu uhame hata ukipata post kupitia psrs.
mapambano memaBarua ukimsaundisha anapitisha..!!
Barua ya kuomba Kazi na ya kuhama zote ukimbembeleza anapitisha.
#YNWA
Wakati mimi natamani huko nipelekwe hata sasa hivi, huku mtaani hakufai jamani toka 2016 mpaka leo sijaingia kwenye asali umri wa kustafu unasogea kwa kasi....!mnatutisha aiseeh
inamaana halmashauri moto mkali wa shida unawaka!