Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Sheria zipo kwa ajili ya watu masikini na wasio na connection tu ila matajiri haziwahusu
 
Brother na mm ni muhanga wa hili jambo la uhamisho

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
chief umeamua uwakimbie tamisenga !

karibu kwenye mapambano huku PSRS
Nilishajisajili tokea 2021 sema sikua serious ila juzi ndio NIMETUMA OMBI LA KWANZA tokea nijisajili 2021.

Hata vyeti niliweka(ga) ambavyo sija certify, ila Juzi hapa nimeamua kuwa serious na kila KIGEZO.

Kuna jamaa nawajuwa wamelamba Tena asali ... (Ndani ya mwaka huu)
1. Kuna muhasibu mmoja Iringa manispaa kalamba asali ya EWURA,
2. Kuna IT Dom kalamba asali ya Wizara ya mambo ya ndani,
3. Na wengine kama wa 4 wanawajua wahasibu (halmashauri tofauti tofauti) wamelamba asali za TRA (ile TRA ya mwanzo iliyopitia Ajira portal).
4. Na kikubwa zaidi huu mkeka uliomtoa Zai wa JF humu, Kuna raia wangu nae kalamba asali ya Taasisi tenaaa.

Hawa ndio wameni "motivate" kumbe inawezekana UKIKAZA ukasepa TAMISEMI.

Huyo wa 4 ndio kanishtua balaaa "I should be serious"

#YNWA
 
Nilishajisajili tokea 2021 sema sikua serious ila juzi ndio NIMETUMA OMBI LA KWANZA tokea nijisajili 2021.

Hata vyeti nilikuweka(ga) ambavyo sija certify, ila Juzi hapa nimeamua kuwa serious na kila KIGEZO.

#YNWA
unaonekana umejipanga,kikubwa kula msuli wakutosha.

na vp ukipiga usahili wa MDAS&LGAS halafu wakakupeleka tena halmashauri itakuaje!?

coz utumishi wanakupeleka popote
 
unaonekana umejipanga,kikubwa kula msuli wakutosha.

na vp ukipiga usahili wa MDAS&LGAS halafu wakakupeleka tena halmashauri itakuaje!?

coz utumishi wanakupeleka popote

Nafata NJIA ZA MA-ROLE MODEL WANGU....😎😎😎

Kuna jamaa nawajuwa wamelamba Tena asali ... (Ndani ya mwaka huu)

1. Kuna muhasibu mmoja Iringa manispaa kalamba asali ya EWURA,

2. Kuna IT Dom kalamba asali ya Wizara ya mambo ya ndani,

3. Na wengine kama wa 4 wanawajua wahasibu (halmashauri tofauti tofauti) wamelamba asali za TRA (ile TRA ya mwanzo iliyopitia Ajira portal).

4. Na kikubwa zaidi huu mkeka uliomtoa Zai wa JF humu, Kuna raia wangu nae kalamba asali ya Taasisi tenaaa.

Hawa ndio wameni "motivate" kumbe inawezekana UKIKAZA unasepa TAMISEMI.

Huyo wa 4 ndio kanishtua balaaa "I should be serious"

Akili yangu inawaza kukimbia TAMISEMI tuuuu.

Kwahiyo hata wakiniweka kwenye Data base basi wanitupie BOT au HAZINA..!!!

#YNWA
 
Inabidi na mimi niamke na tupeane mbinu ya kukimbia TAMISEMI maana na mm nmepachoka huku

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
utapata chief endelea kula madesa
boss wako unavo muomba ruhusa kwenda kupiga pepa ,vp hawezi kukuwekea kinyongo.
 
Inabidi na mimi niamke na tupeane mbinu ya kukimbia TAMISEMI maana na mm nmepachoka huku

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
1. Ajira portal (Ajira mpya)
2. Connection
3. Matangazo ya transfer (kutuma direct Taasisi na jengine kupitia ajira portal)

Komaa na haya, ipo siku njia moja wapo ITAKUTOA.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…