Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

Insha'Allah
 
Huyu hayupo saw Post ya trh 8 Nov anasema week iliyopita wkt Oral zilianza trh 6 Nov kuna Sehemu kakwama kutunga story taye.
Nimeiona mjadara wa baadhi ya wadau kujua kama tayari wamesharamba asali TRA,
Na mm kwenye pita pita zangu nikakutana na icho kitu apo chin 👇.
Hii ina maana waliopiga oral TRA,n kwamba wameshatumiwa majibu yao aau.?
View attachment 2813116
 
Nimejaribu huu mfumo mpaka sasa haujatoa majibu kwa sababu Waajiri na MaHR hawajajua namna ya kutumia

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kengine...
Inategemea wewe na kada yako.
Hivi ni muhasibu gani atakubali atoke DSM aende ukerewe?
Hii mifuml inafaa Kwa wale wa kada yenye watumishi wengi kama walimu, afya na watendaji.
Kada nyengine unakuta halmashauri yote mpo wawili au mmoja, nani sasa atakubali atoke Mwanza aende Mpimbwe?

#YNWA
 
Nimeiona mjadara wa baadhi ya wadau kujua kama tayari wamesharamba asali TRA,
Na mm kwenye pita pita zangu nikakutana na icho kitu apo chin 👇.
Hii ina maana waliopiga oral TRA,n kwamba wameshatumiwa majibu yao aau.?
View attachment 2813116
Hakuna aliyetumiwa majibu ila Kuna watu Wana mkononi mrefu.
Ni rahisi wao kupata taarifa.

#YNWA
 
Mimi nimepata shortlisted for written afu then imepotea ikabaki received je shida yaweza kuwa nini?
 
Kila mtu ana ndoto zake,Mimi nimesoma diploma ya kilimo na degree ya wanyamapoli,alafu ajira nikaajiriwa wizaran,wizara ya kilimo kwa level ya diploma,so nawaza Sana maana nikiendelea kukaa huku, degree yang haina thaman hapa wizara ya kilimo,inabidi kufanya mchakato niame wizara ya maliasili au taasisi zake(TANAPA, TAWA au ngorongoro)bado Nina safari ndefu sana japo asali ya wizaran ni TGS Ila posho,safari na extra duty kibao
 


Mwanzo nilikuta stutas inasoma SHORTLISTED ila ilikua nikigonga “view timetable “ inanambia “not found” baada ya siku moja ikarudi “Received “ je hii nayo imekaaje wazee[emoji26][emoji26][emoji26]nna miezi mi 5 tangu ni apply na bado sijaitwa kwenye usahili MUHIMBILI sijui ni lini wata tu CALL FOR INTERVIEW...msaada wenu wazoef
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…