Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

MUNGU NI MWEMA NIMELAMBA ASALI...

Hongera sana mkuu,

Nakutakia maisha mema katika Utumishi wa Umma, kapige kazi kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi.

Jipongeze ukiwa na ndugu na jamaa kufurahia hatua hiyo muhimu ktk maisha yako kwan haikuwa rahisi kufika hapo.

Kumbuka kutoa shukurani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji kutoka katika jamii inayokuzunguka kama vile watoto yatima, wenye ulemavu, wazee nk.

👊👊👊
 
Ahsante Sana Moses...nashukuru kwa ushauri pia, nitafanyia kaz🤝
 
Ebu endelea kula hayo maokoto kwanza mkuu...
 
Degree ya wanyama pori ulisoma chuo gani
 
Mkuu TANAPA naskia siku hizi njaa kali hakuna maokoto... Unaweza ukaruka mkojo ukakanyaga kinyesi,,, fanya utafiti kabla ya kuhamia taasisi uitakayo.
 
Kwani hayo matokeo yalikuwa na siku ya oral interview?

#YNWA
Shida sio kuwa na Siku ya Interview ni Muda wa matokeo kutoka tena yaliambatana na Ratiba iliyokuwa inaanza trh 29 Oct baadae ikaja kufanyiwa marekebisho zikaanza trh 6 Nov hapo ndy natakaa kumuuliza matokeo km alitaona mapema alichelewa Vipi kwenda Eneo la tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…