El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
walituzoesha vibaya sa hivi wametuachia manyoyaIle August ilikuwa back to back hadi rahaaa.tukajua changes tayari zishafanyikaa
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walituzoesha vibaya sa hivi wametuachia manyoyaIle August ilikuwa back to back hadi rahaaa.tukajua changes tayari zishafanyikaa
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
mie sioni umuhimu wa hao utumishi mkali kazi imeshawashinda warudishe mpira kwa kipa kama alivosema utawala2025kama iyo kompyuta imemshinda aniachie mimi niwainue mashabiki.
MUNGU NI MWEMA NIMELAMBA ASALI...
Ahsante Sana Moses...nashukuru kwa ushauri pia, nitafanyia kaz🤝Hongera sana mkuu,
Nakutakia maisha mema katika Utumishi wa Umma, kapige kazi kwa kuzingatia Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi.
Jipongeze ukiwa na ndugu na jamaa kufurahia hatua hiyo muhimu ktk maisha yako kwan haikuwa rahisi kufika hapo.
Kumbuka kutoa shukurani kwa kusaidia makundi yenye uhitaji kutoka katika jamii inayokuzunguka kama vile watoto yatima, wenye ulemavu, wazee nk.
👊👊👊
Ebu endelea kula hayo maokoto kwanza mkuu...Kila mtu ana ndoto zake,Mimi nimesoma diploma ya kilimo na degree ya wanyamapoli,alafu ajira nikaajiriwa wizaran,wizara ya kilimo kwa level ya diploma,so nawaza Sana maana nikiendelea kukaa huku, degree yang haina thaman hapa wizara ya kilimo,inabidi kufanya mchakato niame wizara ya maliasili au taasisi zake(TANAPA, TAWA au ngorongoro)bado Nina safari ndefu sana japo asali ya wizaran ni TGS Ila posho,safari na extra duty kibao
Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu Kila la kheriMUNGU NI MWEMA NIMELAMBA ASALI...
Ahsante sana Captain🤝Hongera sana mkuu ukawe mtumishi mwema na mwadilifu ukachape kazi mkuu Kila la kheri
wakikuskia 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣mie sioni umuhimu wa hao utumishi mkali kazi imeshawashinda warudishe mpira kwa kipa kama alivosema utawala2025
Degree ya wanyama pori ulisoma chuo ganiKila mtu ana ndoto zake,Mimi nimesoma diploma ya kilimo na degree ya wanyamapoli,alafu ajira nikaajiriwa wizaran,wizara ya kilimo kwa level ya diploma,so nawaza Sana maana nikiendelea kukaa huku, degree yang haina thaman hapa wizara ya kilimo,inabidi kufanya mchakato niame wizara ya maliasili au taasisi zake(TANAPA, TAWA au ngorongoro)bado Nina safari ndefu sana japo asali ya wizaran ni TGS Ila posho,safari na extra duty kibao
Miezi kama miwili au mmoja uliopita walikuwa wanazunguka kwny vyombo vya habari baada ya ile ishu ya Nssf kuajari wenyew, nikajua kunamabadiliko kumbe bora ya jana😁watu tunaumia kimyakimya sasa ivi.IT kachachuka....
Mkuu TANAPA naskia siku hizi njaa kali hakuna maokoto... Unaweza ukaruka mkojo ukakanyaga kinyesi,,, fanya utafiti kabla ya kuhamia taasisi uitakayo.Kila mtu ana ndoto zake,Mimi nimesoma diploma ya kilimo na degree ya wanyamapoli,alafu ajira nikaajiriwa wizaran,wizara ya kilimo kwa level ya diploma,so nawaza Sana maana nikiendelea kukaa huku, degree yang haina thaman hapa wizara ya kilimo,inabidi kufanya mchakato niame wizara ya maliasili au taasisi zake(TANAPA, TAWA au ngorongoro)bado Nina safari ndefu sana japo asali ya wizaran ni TGS Ila posho,safari na extra duty kibao
MwekaDegree ya wanyama pori ulisoma chuo gani
Shida sio kuwa na Siku ya Interview ni Muda wa matokeo kutoka tena yaliambatana na Ratiba iliyokuwa inaanza trh 29 Oct baadae ikaja kufanyiwa marekebisho zikaanza trh 6 Nov hapo ndy natakaa kumuuliza matokeo km alitaona mapema alichelewa Vipi kwenda Eneo la tukioKwani hayo matokeo yalikuwa na siku ya oral interview?
#YNWA
hata mie nikahisi ivo 🤣 🤣Miezi kama miwili au mmoja uliopita walikuwa wanazunguka kwny vyombo vya habari baada ya ile ishu ya Nssf kuajari wenyew, nikajua kunamabadiliko kumbe bora ya jana😁
Hapo ndipo wanakera hawa jamaa ,yaani aiseehata mie nikahisi ivo [emoji1787] [emoji1787]
hamna kitu wale jamaa wanatia watu stress tu..Hapo ndipo wanakera hawa jamaa ,yaani aisee