El marabiosh
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 2,382
- 4,978
kiutamaduni inatakiwa uje uzi wenye watu zaidi ya mia hamsini lakini utashangaa uzi unakuja unawatu watano.Hapo ndipo wanakera hawa jamaa ,yaani aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiutamaduni inatakiwa uje uzi wenye watu zaidi ya mia hamsini lakini utashangaa uzi unakuja unawatu watano.Hapo ndipo wanakera hawa jamaa ,yaani aisee
Mtu anakuwa Top ten written, kwenye Practical anakuwa wa 150. Hili linawezekana kweli? TRA sio wakuwaamini hapa kuna mchezo unaendelea
Ni kawaida tu mkuu.Mtu anakuwa Top ten written, kwenye Practical anakuwa wa 150. Hili linawezekana kweli? TRA sio wakuwaamini hapa kuna mchezo unaendelea
Yah kweli kabisaYaani Utumishi kumbe waliusoma mchezo walipoona taasisi zinaelekea kuwakimbia wakaanza kujikosha kwa kutoa placements za bandika bandua na kupiga kampeni kwenye vyombo vya habari ili wateja wao wabaki, na wawafanye waomba ajira wawaone wao ni wema sana kwamba hakukuwa na haja ya taasisi kurudishiwa mamlaka ya kuajiri.
Haya sasa! Walipogundua haijasaidia, wamerudi kwenye uhalisia wao wakuchelewesha placements.
#Utumishi waomba ajira wanataka muendelee ule moto mliouwasha wa kufanya ziara kwenye vyombo vya habari na kutoa placements haraka haraka. Hiki chakurudi mlivyokuwa mnalalamikiwa mnazipa sababu taasisi kuwa na nguvu ya kuajiri zenyewe, matokeo yake ni kupendeleanakutarudi kwa kasi.
Hamna mchezo wowote hapo ndio mtihani huo. Mbona mdau alikua wa pili kweny Written Utumishi kati ya watu 9 ila kweny Oral hajafaulu mpaka leo wenzake wote 8 washaitwa kazini.Mtu anakuwa Top ten written, kwenye Practical anakuwa wa 150. Hili linawezekana kweli? TRA sio wakuwaamini hapa kuna mchezo unaendelea
🤣 🤣 🤣 🤣 dahhHamna mchezo wowote hapo ndio mtihani huo. Mbona mdau alikua wa pili kweny Written Utumishi kati ya watu 9 ila kweny Oral hajafaulu mpaka leo wenzake wote 8 washaitwa kazini.
Hahahaha nouma mkuu..🤣 🤣 🤣 🤣 dahh
Linawezekana vzr tu.Mtu anakuwa Top ten written, kwenye Practical anakuwa wa 150. Hili linawezekana kweli? TRA sio wakuwaamini hapa kuna mchezo unaendelea
Duh! Kwa kweli hii issue inatafakarisha sana na kama una imani haba unaweza kutafuta mchawiHahahahaha! Tutor mimi ni mkosoaji mkubwa wa Taasisi hasa ambazo ni nyeti kurudishiwa mamlaka ya kuajiri zenyewe lakini kwenye hili la mtu kutoka Top 10 ya written mpaka 150 kwa practical, nalikubali linawezekana tena bila ya kuonewa au kufanyiwa mchezo wowote unless huyo mtu awe na maelezo ya ziada.
Hata kwenye practical wangeurudia mtihani ule ule walioufanya kwenye Oral inawezekana mtu akatolewa na ushindani kutoka top 10 mpaka nje ya 200.
Mtihani una mambo mengi mkuu, mtu anaweza kuamka akili inakataa kufanya chochote, na bado kuna suala la ushindani, walioharibu kwenye written sio kwamba ni vilaza inawezekana wakawa ni wazuri zaidi kwenye practical wakapanda kutoka nje ya 200 mpaka top 3.
Ajira mpya, nao wakizoea 🏃♂️🏃♂️Sasa mnakimbia halmashauri nani anafanya kazi huko aisee ninyi watu ?
Nina safari ndefu sana japo asali ya wizaran ni TGS Ila posho,safari na extra duty kibao
Duh! Kwa kweli hii issue inatafakarisha sana na kama una imani haba unaweza kutafuta mchawi
Kugumu sana huku...ila bora nusu kuliko kukosa kabisaSasa mnakimbia halmashauri nani anafanya kazi huko aisee ninyi watu ?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Mnazingua sana aisee ,
Kumbe ndio maana kuna taasisi haziajiri kabisa graduates aisee ,kumbe majitu yanakaba nafasi huko kwa kuzikimbia halmashauri
Kuna taasisi watu wanafanya usahili kama Geresha halafu hata majina yenyewe hayatoki ,ujinga sana huu
kwa kweli nakuunga mkono ndugu yangu.Habari.
Kwa hali inayoendelea kwa upande wa psrs.
Ucheleweshaji wa kuita watu kazini.
Ucheleweshaji wa kuita watu usaili.
Kiukweli mimi nitakuwa mtu wa kwanza kuzitaka taasisi ziajiri zenyewe.
Kama watasolve hizo changamoto mimi nitakuwa upande wao.
Haiwezekani wao wana ajiri taasisi zote za umma na mshirika ya serikali na halmashauri ila mchakato yao muda mfupi sana ni miezi miwili au mitatu kuita watu kazini.
Kuna nini nyuma ya pazia.